Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,356
- 96,611
kahawa will tempt me, maana kahawa ya JF nina branding ya JF, ukinywa tu, unasahau kuaga...LOL
Ninakuomba leney,
Usimkimbie kimey,
Kaa mpaka mwezi Mey,
Babu nitakupa Hey!
Bila ya wewe jamvini,
Babu takuwa tabuni,
Naomba yako hisani,
Ubaki kwetu kundini.
Babu nitasikitika,
Japo sitakasirika,
Kukukosa kwa hakika,
Nitaishi kwa mashaka.
Unataka kuniua,
Kwa presha kujifilia?
Hebu badiliyo nia,
Bado twakuhitajia.
Watu wote semeni..TUNAKUPENDA LENEY, USIONDOKE LENEY!
Babu anaitikia Amina, japo ana hangover Mungu atamsamehe na kuisikiliza sala yenu.
Narudi kitandani kulia kwa ajili ya Leney kutukimbia.