Kushukuru......mmenitoa mbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kushukuru......mmenitoa mbali

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Chauro, Jun 27, 2011.

 1. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Habari zenu wandugu,

  Kuna jambo nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa baada ya kuona mara nyingi tumekuwa wepesi wa kulalamika na kulaumu kila wakati huku neno shukrani likiwa mbali na midomo yetu. Je ni kweli hata wale waliokukosea sana kwenye maisha yako awe mume/mke ,rafiki ,kingasti,jirani,mzazi hana jema hata moja alilotenda kwenye maisha yako ambalo linahitaji shukrani.

  Je ni mara ngapi tumekuwa tukishukuru kwa yale ambayo Mungu ametubariki nayo kwenye maisha yetu?

  Napenda kuwashukuru marafiki wote wa MMU kwa kutengeneza na kubadili mtazamo wangu kwenye suala zima la mahusiano .

  MMENITOA MBALI MUNGU AWABARIKI.
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Ameen Chauro,...mie sijui nisemeje nipate kueleweka,... Signature yangu inajielezea kila kitu, 'mwenye macho haambiwi tazama,'

  ...zaidi ya hapo...

  [​IMG]
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,401
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Mungu akubariki pia
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Napenda kwa heshima na taadhima kutoa shukrani za pekee kwa rafiki yangu mpendwa Chauro kwa kunifanya nijisikie furaha kila wakati nionapo post/thread zake UBARIKIWE SANA MY DEAR ME LOVE YOU............................
   
 5. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Umenitoa mbali Mbu kuna wakati nikitaka kufanya jambo narejea post zako najikuta nimefanya maamuzi ya busara Be Blessed my brother.

   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  OMG....am humbled!
  nashukuru sana, ubarikiwe Chauro...
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Asante rafiki,umepotea sana ulikuwa wapi?

   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Sasas wewe Chauro umekaa ukafikiria nini hadi kuja na hii topic??

  Nimeguswa sana na napenda kukupongeza kwa kufanya tafakuri kubwa namna hii.

  Binafsi nakupongeza kwa michanga yako na kwa kweli wewe ni miongoni mwa watu wanaonifanya nijitahidi kutembelea uwanja huu wa MMU. Nakosa sana raha ninaposhindwa kutembelea hili jukwaa!!

  Mbarikiwe sana..... wewe mwenyewe na wadau wote wa Uwanja huu wa MMU!!!
   
 9. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hii avator ndo wewe ? nimekupenda kweli sijaoa ... nifikirie
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ASANTE bibie!!
  Shukrani kwa vichwa vyote vya MMU!
   
 11. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  DC,nimewaza mengi unajua tumekuwa wepesi sana kutazama na kulaumu wengine lakini hatuna muda kujitazama nakuangalia wapi tulipodondoka na wapi tumesimama wapi mchango wetu kwenye hayo maanguko na je huwa tunakumbuka kushukuru kwa machache tunayopokea au tunaegemea zaidi kwenye mabaya watu waliyotutendea.


   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jun 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  THANK U.......................kp blsed!!!!!!!
   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,474
  Trophy Points: 280
  Hivi Chauro.........

  Kati ya hao unaowashukuru, na mimi babu msema ovyo ODM Asprin wa ukaguzi nimo kwenye listi?

  Ntashangaa!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Be blessed pia!
   
 15. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #15
  Jun 28, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  stay blessd Chauro!
   
 16. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #16
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Acha kabisa umejaza shukrani ndani ya moyo wangu kuliko unavofikiri,
  siwezi kusahau hekima na busara za babu yangu.............

   
 17. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #17
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hahaaaaa ngoja nikamuulize baba watoto kama bado kuna nafasi.


   
 18. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #18
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,474
  Trophy Points: 280
  Enenda na amani mjukuu wangu,

  Umesamehewa dhambi zako zote ulizotenda na utakazotenda mpaka 2015.

  Watu wote waseme AMINA!
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  Jun 28, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Amina Babu,lakini embu niambie mara ngapi umekumbuka kusema asante angalabu kwa mama Matesha. .


   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jun 28, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,474
  Trophy Points: 280
  Mara ngapi?........E bwana sidanganyi siwezi kumbuka....Nna zaidi ya miaka kumi na huyu mrembo.

  Ila mara ya mwisho ilikuwa leo asubuhi alivyoniambia ananitakia kazi njema.
   
Loading...