Huyu mwanamke anataka kuninyonya damu nife nikachomwe moto

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Ndugu wana Jf natumaini mpo salama salimini, kwa wale wenye changamoto za hapa na pale Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi sasa sawa na imani zao kwa namna yao. Amina

Yapata miezi kadha wa kadha sasa nina huyu mwanamke tuliyependana sana na huku akinionyesha mahaba moto moto, kweli tunapendana sana

Mtoto kaumbika mfano hakuna na kafungasha kweli kweli pamoja na rangi yake nzuri ya andazi huku akiwa na nywele za kutosha pamoja na macho ya kusinzia

Ndugu huyu binti nimekaa naye na hakuwahi nionyesha dalili zozote mbaya isipo kuwa alikua anataka nimwambie kila kitu changu na aina ya kazi ni nayofanya pamoja na ajue kipato changu na mienendo yangu yote.

Sikuwa na fanya hivyo kwa sababu nilijua huu ni mtego na nikiingia kichwa kichwa hakuna rangi nitaacha kuona,japo kwa upande wake yeye alikua ananiweka wazi mambo yake, ila mimi sikua nafanya kama anavyotaka huku nikisimamia msimamo wa mwanaume ni kichwa na anapaswa kuongoza na siyo kuongozwa na mwanamke.

Ndugu nilizidi kushupaza kichwa na yeye alikua hata tukiwa faragha ananitega iliajue background yangu iliyokuwa ina lenga sana uchumi wangu japo nilizidi kukaza sana.

Yapata siku moja nikaona kero ikabidi ni mwambia wewe na kuhudumia na kukupa hela nyingi sana na matunzo ilihali sijakuoa sasa hapo uridhiki tuu akanijia juu akasema " je kama wewe ni mwizi nitajuaje" nikaona isiwe tabu nikapiga mitungi yangu kadha akili ikachangamka wazo likanijia kwa sababu hajui kabisa na pataje hela acha nijiweke kwenye level ya chini kidogo ni mdanganye source za kipato changu maana akili ilikua inanituma huyu labda hanipendi anataka kunikausha kijanja

Kweli nilijishusha sana nikataguta kazi nyenye kipato kidogo kama 400k nikamwambia ndiyo ninayoifanya na nje ya hapo sina source zingine za kipato, hakutaka kuniamini huku akidai maisha ninayo ishi hayaendani na mimi nikaona isiwe tabu nikamwambia kama unanipenda mimi ni pende na usiangalie ninachofanya kikubwa matunzo na kupa kama mwanamke wangu.

Alikubali kishingo upande ila kilichofata ni mizinga kwa kwenda mbele ,pigwa mizinga na pangua kiume, pigwa mizinga haswa na pangua kweli kweli. Ila utaratibu wangu wa kumtunza bado ulikua pale pale maana kila mwezi na mpa takriban 150k na hapo sijamuo na anakaa kwao bado kwa baba na mama yake.

Sioni shida ila nampa tuu , kiukweli mbali na hiyo hela ambayo naona ni nyingi ninayo mpatia isiyo hata na matumizi ya kueleweka bado anapiga mizinga ya pembeni na wala sina neno nae , nikijisikia na muongezea kwa kulipia vizinga vichache ila sitaki izidi 180k ukijumlisha na hela ninayo mpatia kila mwezi sawa na hesabu zangu za matumizi yake binafsi ya Tsh 5000/6000 kwa siku na siyo vinginevyo

1: Kiukweli huyu mwanamke hana shukrani na ananipiga mikwara ya kuniacha ila na mzoom tuu na muda wowote nataka ni mpige chini ili abakie na ujinga wake ni vute mama nyingine tuu maana wapo mabinti wazuri tuu hata hiyo hela hawawezi kupata au kupewa na wanaume wao

2: Hana shukrani mpaka ananiambia eti anaweza kuniacha na mimi na mjibu tuu sawa kama ndiyo unavyotaka kufanya kuachana na mimi ila sawa weww endelea ma mpango wako

3: Hana shukrani kiasi kwamba ananitafutia makosa yasiyoeleweka na kudai ni mwombe msamaha, ila nimemkanya na kumwambia usinitafutie makosa kama umenichoka bora uende kwa amani

4: Hana shukrani kiasi kwamba alikua akinipa mahaba moto moto ila kapunguza na mimi na mzoom tuu najifanya mjinga na siku akijichanganya basi itakua ndiyo mwisho wetu

5: Hana shukrani kiasi kwamba amekua akinuna hovyo, hasira, akija juu na kutaka kuniona mimi ni fala ila na mwangalia tuu

6: Kwa kweli hana shukrani hawazi maisha yetu yeye anawaza kunipiga mizinga tuu na ninaona kaamu haswa kupiga vizinga

7: Hana shukrani mpaka analazimisha ni muhudumie kitu ambacho na hudumia na pesa yote na mpa ila ndiyo hivyo haoni chochote ndugu zangu

Huyu mwanamke anataka kuninyonya damu ,anifilisi ,aniue na mwisho wa siku nikachomwe moto kwa kukosa akili

Ndugu zangu je nimfanyaje huyu kiumbe?
 
Piga chini takataka hiyo, hapo umeingia kwenye mkopo wa kausha damu, sasa skia huyo takataka mfanyie mshtukizo wa maana afurahi sanaaa hrf piga chini imbwaaa hiyo ikabweke kwenye jalala,, wanyama ni wengi sana Mzee wangu nashangaaa mpaka muda huu bado upo nae, kinachofata hapo atakuroga upoteee kbsaaaa
 
Mfanyie na kumpatia anachotaka halafu baada ya hapo muombe afanye unachotaka.

Ikishindikana wote kupeana mnavyotaka basi achaneni tu, siyo kosa la jinai kuachana
Nikimwomba ninachotaka ananipa ila kile sahihi. Shida hela ninayo mpatia ni nyingi sana hana chakufanyia na bado anazingua kiasi kwamba ananikosesha amani sasa mkuu.
 
Uyo achana nae,sasa fanya hiv em tuambie sisi unafanya mishe gani mana inaonekana ushajipata mzee,mana 180k ni mshahara wa raia weng bongo afu we unaipatia papuch kisa utelez tu mkuu
Ni kweli ni mshahara wa mtu huu . Ila huyu manzi hamnazo kabisa..

Tatizo single boy tukipata hela nyingi za uhakika hatuoni shida kumpunguzia mwanamke sema sasa naona huyu hana shukrani hatakidogo
 
Piga chini takataka hiyo,,, hapo umeingia kwenye mkopo wa kausha damu,,, Sasa skia huyo takataka mfanyie mshtukizo wa maana afurahi sanaaa hrf piga chini imbwaaa hiyo ikabweke kwenye jalala,, wanyama ni wengi sana Mzee wangu nashangaaa mpaka muda huu bado upo nae ,kinachofata hapo atakuroga upoteee kbsaaaa
Sawa mkuu.
 
Hahahahaha

Mwamba, pambana kiume. Wengine tukiweka kesi zetu hapa na wake zetu utaiona yako haina locus stand kabisaa.

Kwa hiyo, fuata serikali ya kichwa chako. Huyo ni hawara na siyo mchumba, ukiamua kumhalalisha basi hakikisha una bima ya afya kwa sababu maradhi ya moyo na sukari hayaambukizi ujue.

Ukiweza kumpiga chini, kachinje mbuzi maana nimesoma hapo ukichoandika, huyo hapigiki chini kizembe. Akikupiga chini maana yake amehakikisha wamepanda maua kwenye tuta utakalofichamwa milele.

Kila mtu ashinde mechi zake. Ukiona vipi uza mechi.
 
Piga chini takataka hiyo,,, hapo umeingia kwenye mkopo wa kausha damu,,, Sasa skia huyo takataka mfanyie mshtukizo wa maana afurahi sanaaa hrf piga chini imbwaaa hiyo ikabweke kwenye jalala,, wanyama ni wengi sana Mzee wangu nashangaaa mpaka muda huu bado upo nae ,kinachofata hapo atakuroga upoteee kbsaaaa
Baba, baba
Jamaa kakwama.kaoza.
Unamshauri achukue sindano ya chanjo akamchome tembo.

Ashinde mechi yake. Afuate akili yake bana
 
Piga chini takataka hiyo,,, hapo umeingia kwenye mkopo wa kausha damu,,, Sasa skia huyo takataka mfanyie mshtukizo wa maana afurahi sanaaa hrf piga chini imbwaaa hiyo ikabweke kwenye jalala,, wanyama ni wengi sana Mzee wangu nashangaaa mpaka muda huu bado upo nae ,kinachofata hapo atakuroga upoteee kbsaaaa
 
Hahahahaha
Mwamba, pambana kiume. Wengine tukiweka kesi zetu hapa na wake zetu utaiona yako haina locus stand kabisaa.

Kwa hiyo, fuata serikali ya kichwa chako. Huyo ni hawara na siyo mchumba, ukiamua kumhalalisha basi hakikisha una bima ya afya kwa sababu maradhi ya moyo na sukari hayaambukizi ujue.

Ukiweza kumpiga chini, kachinje mbuzi maana nimesoma hapo ukichoandika, huyo hapigiki chini kizembe. Akikupiga chini maana yake amehakikisha wamepanda maua kwenye tuta utakalofichamwa milele.

Kila mtu ashinde mechi zake. Ukiona vipi uza mechi
Mkuu hiyo mistari mitano ya mwisho sijapata kuielewa mkuu fafanua
 
Hahahahaha
Mwamba, pambana kiume. Wengine tukiweka kesi zetu hapa na wake zetu utaiona yako haina locus stand kabisaa.

Kwa hiyo, fuata serikali ya kichwa chako. Huyo ni hawara na siyo mchumba, ukiamua kumhalalisha basi hakikisha una bima ya afya kwa sababu maradhi ya moyo na sukari hayaambukizi ujue.

Ukiweza kumpiga chini, kachinje mbuzi maana nimesoma hapo ukichoandika, huyo hapigiki chini kizembe. Akikupiga chini maana yake amehakikisha wamepanda maua kwenye tuta utakalofichamwa milele.

Kila mtu ashinde mechi zake. Ukiona vipi uza mechi
Nakazia hapa napiga na lamination.....
 
Ndugu wana Jf natumaini mpo salama salimini, kwa wale wenye changamoto za hapa na pale Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi sasa sawa na imani zao kwa namna yao. Amina

Yapata miezi kadha wa kadha sasa nina huyu mwanamke tuliyependana sana na huku akinionyesha mahaba moto moto, kweli tunapendana sana

Mtoto kaumbika mfano hakuna na kafungasha kweli kweli pamoja na rangi yake nzuri ya andazi huku akiwa na nywele za kutosha pamoja na macho ya kusinzia

Ndugu huyu binti nimekaa naye na hakuwahi nionyesha dalili zozote mbaya isipo kuwa alikua anataka nimwambie kila kitu changu na aina ya kazi ni nayofanya pamoja na ajue kipato changu na mienendo yangu yote.

Sikuwa na fanya hivyo kwa sababu nilijua huu ni mtego na nikiingia kichwa kichwa hakuna rangi nitaacha kuona,japo kwa upande wake yeye alikua ananiweka wazi mambo yake, ila mimi sikua nafanya kama anavyotaka huku nikisimamia msimamo wa mwanaume ni kichwa na anapaswa kuongoza na siyo kuongozwa na mwanamke.

Ndugu nilizidi kushupaza kichwa na yeye alikua hata tukiwa faragha ananitega iliajue background yangu iliyokuwa ina lenga sana uchumi wangu japo nilizidi kukaza sana.

Yapata siku moja nikaona kero ikabidi ni mwambia wewe na kuhudumia na kukupa hela nyingi sana na matunzo ilihali sijakuoa sasa hapo uridhiki tuu akanijia juu akasema " je kama wewe ni mwizi nitajuaje" nikaona isiwe tabu nikapiga mitungi yangu kadha akili ikachangamka wazo likanijia kwa sababu hajui kabisa na pataje hela acha nijiweke kwenye level ya chini kidogo ni mdanganye source za kipato changu maana akili ilikua inanituma huyu labda hanipendi anataka kunikausha kijanja

Kweli nilijishusha sana nikataguta kazi nyenye kipato kidogo kama 400k nikamwambia ndiyo ninayoifanya na nje ya hapo sina source zingine za kipato, hakutaka kuniamini huku akidai maisha ninayo ishi hayaendani na mimi nikaona isiwe tabu nikamwambia kama unanipenda mimi ni pende na usiangalie ninachofanya kikubwa matunzo na kupa kama mwanamke wangu.

Alikubali kishingo upande ila kilichofata ni mizinga kwa kwenda mbele ,pigwa mizinga na pangua kiume, pigwa mizinga haswa na pangua kweli kweli. Ila utaratibu wangu wa kumtunza bado ulikua pale pale maana kila mwezi na mpa takriban 150k na hapo sijamuo na anakaa kwao bado kwa baba na mama yake.

Sioni shida ila nampa tuu , kiukweli mbali na hiyo hela ambayo naona ni nyingi ninayo mpatia isiyo hata na matumizi ya kueleweka bado anapiga mizinga ya pembeni na wala sina neno nae , nikijisikia na muongezea kwa kulipia vizinga vichache ila sitaki izidi 180k ukijumlisha na hela ninayo mpatia kila mwezi sawa na hesabu zangu za matumizi yake binafsi ya Tsh 5000/6000 kwa siku na siyo vinginevyo

1: Kiukweli huyu mwanamke hana shukrani na ananipiga mikwara ya kuniacha ila na mzoom tuu na muda wowote nataka ni mpige chini ili abakie na ujinga wake ni vute mama nyingine tuu maana wapo mabinti wazuri tuu hata hiyo hela hawawezi kupata au kupewa na wanaume wao

2: Hana shukrani mpaka ananiambia eti anaweza kuniacha na mimi na mjibu tuu sawa kama ndiyo unavyotaka kufanya kuachana na mimi ila sawa weww endelea ma mpango wako

3: Hana shukrani kiasi kwamba ananitafutia makosa yasiyoeleweka na kudai ni mwombe msamaha, ila nimemkanya na kumwambia usinitafutie makosa kama umenichoka bora uende kwa amani

4: Hana shukrani kiasi kwamba alikua akinipa mahaba moto moto ila kapunguza na mimi na mzoom tuu najifanya mjinga na siku akijichanganya basi itakua ndiyo mwisho wetu

5: Hana shukrani kiasi kwamba amekua akinuna hovyo, hasira, akija juu na kutaka kuniona mimi ni fala ila na mwangalia tuu

6: Kwa kweli hana shukrani hawazi maisha yetu yeye anawaza kunipiga mizinga tuu na ninaona kaamu haswa kupiga vizinga

7: Hana shukrani mpaka analazimisha ni muhudumie kitu ambacho na hudumia na pesa yote na mpa ila ndiyo hivyo haoni chochote ndugu zangu

Huyu mwanamke anataka kuninyonya damu ,anifilisi ,aniue na mwisho wa siku nikachomwe moto kwa kukosa akili

Ndugu zangu je nimfanyaje huyu kiumbe?
Mpitie kushoto mapema!Mmezidi na nyie uzinzi!
 
Back
Top Bottom