Not_James_bond
Member
- Sep 10, 2023
- 20
- 65
Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
Black market Leo ilikua 2815-2820Hiyo exchange rate ipo hivyo ila huwezi kupata dollars bila kuanzia 2700+ kwenye Black market.........
Mabanki yanauza mwisho dola mia na uwe na maelezo ya kutosha madukani hawauzi dola wananunua tu black market chuma inagonga afu tatuHiyo exchange rate ipo hivyo ila huwezi kupata dollars bila kuanzia 2700+ kwenye Black market.........
Hatari sana, CCM ni laanaMabanki yanauza mwisho dola mia na uwe na maelezo ya kutosha madukani hawauzi dola wananunua tu black market chuma inagonga afu tatu
Hata ulinganishe kote huko Tsh inaporomokaa Sana 😀😀🤣🤣🤣Hivi, ni kwamba Tshs haina thamani au? Kwa nini nchi nyingi hulinganisha pesa yao na Dollar! Kwa nini isilinganishwe na ya kichina,Russia au nchi nyingine yoyote!
Nimeuliza hivi kwa sababu,unakuta hata kwenye manunuzi,pesa inachenjiwa na kutamukwa kwa dola. Ni kipi hasa kinachofanya dola ndo iwe kimbele mbele!?Hata ulinganishe kote huko Tsh inaporomokaa Sana 😀😀🤣🤣🤣
Factors that contribute to the dollar's dominance include its stable value, the size of the U.S. economy, and the United States' geopolitical heft.Nimeuliza hivi kwa sababu,unakuta hata kwenye manunuzi,pesa inachenjiwa na kutamukwa kwa dola. Ni kipi hasa kinachofanya dola ndo iwe kimbele mbele!?
Now understoodFactors that contribute to the dollar's dominance include its stable value, the size of the U.S. economy, and the United States' geopolitical heft.
In addition, no other country has a market for its debt akin to the United States', which totals roughly $22.5 trillion.
Historia fupi...Hivi, ni kwamba Tshs haina thamani au? Kwa nini nchi nyingi hulinganisha pesa yao na Dollar! Kwa nini isilinganishwe na ya kichina,Russia au nchi nyingine yoyote!