Kuna nini kinaendelea kwenye uchumi wetu, mbona thamani ya pesa inazidi kushuka?

BIG THINKER

JF-Expert Member
May 20, 2018
680
1,420
Ndugu zangu nimetoka kubadili pesa muda huu (Kuna biashara naenda kuifanya sehemu kwa kutumia Us dollar) ila nilichokutana nacho kinauma, shilingi yetu inazidi kuporomoka vibaya mno dhidi ya dollar ya kimarekani.

Imagine dola 1 inamezaa Tsh 2415. Hii ni hatari nimeenda na Tsh 183,000,000/= nimekuja na US Dollar 75,776.39 tu.

Mwambieni mama tumekwisha.

Sisi wengine tukiongea tunaonekana wapinzani
 
Tunaotumia dollar kila siku huwezi kukuta tunafunguwa thread kwa sababu us exchange rate inayobadirika kila baada ya masaa.

Chuki zako kwa Samia tafuta style nyingine, kwani Zanzibar wanatumia sarafu gani?
 
Ilo utakuwa ww sisi tunauza bandari ,ngorongoro,na gesi,mbuga zote .........
Maswala ya dollar hayatuhusu si ni mwendo wa mauzo tu wakifika bei tutawauzia kariakoo sawa
Na sisi tunatumia shilingi usituchoshe na madola
 
Ndugu zangu nimetoka kubadili pesa muda huu (Kuna biashara naenda kuifanya sehemu kwa kutumia Us dollar) ila nilichokutana nacho kinauma, shilingi yetu inazidi kuporomoka vibaya mno dhidi ya dollar ya kimarekani.

Imagine dola 1 inamezaa Tsh 2415. Hii ni hatari nimeenda na Tsh 183,000,000/= nimekuja na US Dollar 75,776.39 tu.

Mwambieni mama tumekwisha.

Sisi wengine tukiongea tunaonekana wapinzani
Uko sahihi kabisa nashika dollars kila siku, dollars ni adimu kwa sasa na tupo high season bado means watalii ni wengi na kila siku dollars ina shoot juu hatari means our economy ni mbayaa
 
Jana nimeuza dola zangu elfu 6 nilizonunua mwaka juzi hapa nachekacheka tu kama mwanamke malaya.
Kama rate ya inflation imepita rate ya kupanda kwa thamani ya dollar vs TZS hujafanya kitu hapo.

Unaweza kupata hela nyingi zaidi, lakini uwezo wa hizo hela kununua vitu ukapungua.
 
Hawezi kuelewa purchasing power ya pesa yake ni ipi yeye kaamua kucheka tu
 
Tunaotumia dollar kila siku huwezi kukuta tunafunguwa thread kwa sababu us exchange rate inayobadirika kila baada ya masaa.

Chuki zako kwa Samia tafuta style nyingine, kwani Zanzibar wanatumia sarafu gani?

Wewe sio mtimiaji wa dollar usingeongea hivo kwa mipasho
 
Tunaotumia dollar kila siku huwezi kukuta tunafunguwa thread kwa sababu us exchange rate inayobadirika kila baada ya masaa.

Chuki zako kwa Samia tafuta style nyingine, kwani Zanzibar wanatumia sarafu gani?
Hapo chuki imeingiaje?

Kiufupi Uchumi uko Hali jojo
 
Jana nimemtumia mtu hela Kenya kutoka US. Tofauti ya exchange rate ya US dollar to Kenyan Shillings na US dollar to Tanzanian Shillings ni kubwa sana.

US dollar ilikuwa around 138 Kenyan shillings.
 
Sio kila ongezeko la exchange rate baina ya sarafu moja na nyingine hutokana na kupromoka kwa uchumi bali kuna sababu nyingi.

Moja ya sababu kubwa kwa sasa imetokana na maswala ya Special military operation ya Russia dhidi ya Ukraine,iliyosababisha Serikali nyingi kubadilisha Sera zao za kiuchumi.

Nchi nyingi kwa sasa zina fix hizi exchange rate kuendana na hitaji la Nchi husika.
 
Back
Top Bottom