Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Duh, ni hilo kumbe
Mkuu lile daftari usilidharau kabisa, huwezi jua siku ya kukusaidia.
Kuna mkasa umetajwa hapa jukwaani kwamba kuna mahali tukio lilifanyika na mtu akapewa kesi, kilichomwokoa ni kwamba alijitetea kuwa muda huwa alikuwa mahala fulani na daftari kuletwa ikaonekana kweli alisign kuingia na kutoka mida inayotajwa.