Kusaini kwenye vitabu getini

Kusaini kwenye vitabu getini

kwa akili ya nje ya darasa naona anasaidiwa anae sign in case kafia huko ndani iwe rahis kujulikana ye ni nani na anapopelekwa kwa ajil ya mahitimisho ya safar yake hapa duniani,labda la zaidi ni kujua idadi ya waliomo na waliotoka in case of emergency
Ahsante kwa kuchangia uzi wangu Thubo.
 
Kuna gesti hausi moja nilienda nikaandika Donald Trump hakuna aliyeniuliza...
 
Back
Top Bottom