Kusaini kwenye vitabu getini

Kusaini kwenye vitabu getini

Siku likikupata la kukupata utajua wana maana gani. Kuna mtu alishatoa ushuahuda humu kuwa, alisingiziwa kesi ya ubakaji akahukumiwa miaka 30. Ila alikuja kuachiwa huru kwa rufaa iliyo tetewa na yeye kusain daftari kama hilo siku ya tukio baraza la mitihani kuwa alikua nafatilia cheti chake na hakuwa eneo ambapo tukio lilitokea.. Just imagne angeweka taarifa za uongo.
 
kuna jamaa alishinda kesi ya kubambikiwa kwa msaada Wa kitabu cha getini. Siku na muda alioambiwa ndio alifanya tukio, ndiyo siku hiyo hiyo na muda huo huo alioenda baraza la mitiani. Hivyo basi daftari la getini ndilo lililomwokoa na kesi ya ubakaji Wa kusingiziwa.
 
Ni utaratibu katika ofisi nyingi lakini unapoteza muda wa hao wageni. Nilifika tra tabora nikaambiwa niweke jina kwenye kitabu. Natoka mlinzi binti yuko busy na simu yake, anasema 'usibiri waandike hawa nawe uandike muda wa kutoka'. Ni vile tu watanzania tuna muda wa kupoteza, hatuna shughuli.
 
Kwahiyo hivyo vitabu havitaungua?

Soma vizuri thread mkuu, umeambiwa daftari la kusign getini kabisa, na tumezungumzia kuungua jengo.

BTW, hiyo ni moja ya point, na wewe unaweza kutuambia kazi yake ni nini hasa, maana hatujasema kwamba hiyo ndo sababu pekee, tunajaribu kukusanya majibu.
 
Ni utaratibu katika ofisi nyingi lakini unapoteza muda wa hao wageni. Nilifika tra tabora nikaambiwa niweke jina kwenye kitabu. Natoka mlinzi binti yuko busy na simu yake, anasema 'usibiri waandike hawa nawe uandike muda wa kutoka'. Ni vile tu watanzania tuna muda wa kupoteza, hatuna shughuli.
du! pole sana,ila wewe ni mvumilivu I guess
 
Soma vizuri thread mkuu, umeambiwa daftari la kusign getini kabisa, na tumezungumzia kuungua jengo.

BTW, hiyo ni moja ya point, na wewe unaweza kutuambia kazi yake ni nini hasa, maana hatujasema kwamba hiyo ndo sababu pekee, tunajaribu kukusanya majibu.
Shemeji yangu mwidiwe
 
Back
Top Bottom