imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,236
- 98,403
Ofisi za serikali haswa za mitaa ni za wananchi kwa hiyo kuingia kwako unakuwa umevunja sheria.kaka ukiingia kwenye jengo la mtu bila ruhusa ni kuvunja sheria
Ofisi za serikali haswa za mitaa ni za wananchi kwa hiyo kuingia kwako unakuwa umevunja sheria.kaka ukiingia kwenye jengo la mtu bila ruhusa ni kuvunja sheria
Hii ndio sababu kubwa kabisa among many others.Mfano kikitokea cha kutokea labda jengo likalipuka, inakuwa rahisi kujua nani na nani walikuwa ndani na hivyo ndugu wa waathirika kupata habari.
Mbona kanisani ,sokoni, msikitini nk hatuandiki, hakiwezi kutokea huko?chambua upya
hahahahaahahKwani watajuaje kama jina nililoandika ni langu au wanaombaga na copy ya kitambulisho cha mpigakura.?
Labda wangekuwa wanaomba hata ka picha![]()
![]()
PreciselyNimegundua watu wengi hawajamuelewa muandishi, mm nilichokiona hapa kwamba muandishi alikuwa anataka kujua umuhimu wake, lakini watu wameng'ang'ania kwa sababu ya usalama.
Mm sioni usalama wowote ule, kwa sababu mtu unajiandikia unachotaka na hata yule msimamiz wa kitabu anashindwa kujaribu hata kukuhoji, eg number ya simu ya ukweli, kwa ufupi sionagi km kwao msadaaaa
haswaaaaaaaaaaaaaNi afadhari kuwe na mtambo unaochukua taarifa za mtu kama picha na taarifa za kitambulisho.
Ahsante sanaVitu unavoona vidogo ndio huwa na umuhimu na msaada mkubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu.
Uzuri wake huwa tunaandika jina na muda ulioingia na kutoka.
hii itakusaidia mahakamani kama utasingizia wizi wakati muda huo hukuwepo eneo la tukio
Majanga kama moto,tetemeko yakitokea itasaidia kutambua idadi na majina ya walio athirika.
bahati mbaya umefia chooni,au umepata tatizo la moyo itasaidia kutambua nn kinaendelea mana unavotoka lazima usaini tena
Inawasaidia ofisi kupata takwimu ya watu waliowahudumia iwe kwa siku wiki mwezi na mwaka pia kupunguza wahuni kuingia ingia ofisi za watu bila sababu za msingi.
Absolutely! Kiujumla nahisi ni swala la kiusalama tu.Mkuu siyo mimi tu hata wewe unatakiwa ulete mawazo yako juu ya hili.
Absolutely! Kiujumla nahisi ni swala la kiusalama tu.
Punguza hasira best, huo ndio utaratibu WA ofisi ili kupunguza punguza wahuni na vibaka kuingia hovyo maofisini
Kuandikisha gesti ukiingia usiku huwa na lengo gani?Mkuu ujue kitechnolojia bado tupo nyuma sana hatuna vifaa na watumiaji wa vifaa hawapo, huu utaratibu unamsaidia mlinzi pindi likitokea tatizo, vumilia tu mkuu bado sisi ni ulimwengu wa tatu.
Toa ufafanuzi, kiusalama kivipi?
Na je unaona utaratibu unakidhi lengo?
Utaratibu unakidhi, hasa ukizingatia kwamba nchi yetu bado inajikongoja hasa ktk swala zima la Technology ,Toa ufafanuzi, kiusalama kivipi?
Na je unaona utaratibu unakidhi lengo?
Nina majibu yote ya maswali yako ila sioni kama kuna sababu ya kukujibu