Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai

Msafirishaji atauawa Airport
Hawezi kuuawa. Pork ni mboga maarufu tu katika mahoteli ya Dubai. Mwaka 2015 nilikuwa transit ya masaa 8 kutoka Singapore kurudi nchini kwa ndege za Emirates.

Kwa kuwa nilikuwa na tiketi ya business class nilitolewa pale uwanjani na Limousine hadi 5-Hotel (Novotel-Deira City Centre). Nilikula pork baada ya kuona ni moja ya mboga zikizokuwapo.

Dubai ni international city yenye population mchanganyiko. Ile siyo Afghanistan
 
Waambie hao washinda njaa
 
Hapo kwenye degree haujatenda Haki ..unaweza pata hata alieishia la 7 akawa na akili timamu kushinda Hawa wa degree ambao wanataka kazi za kukaa maofisini kupigwa na kiyoyozi na kulipwa milioni na dharau juu..wengi wa wanafanya kazi na kujituma sana wengi wameishia la 7, form 4, akizidi sana labda ngazi ya diploma.basi ..
 
Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.

**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Cheif hao watu watakua wanasafiri na nyama kama escoters Au vipi😂😂

Yaan unakaa kutudanganya watu wazima hapa.

Kwa taarifa yako usafirishaji hauhitaji wewe usafiri.

Ni port to customer
 
Nimepata tenda ya kupeleka Nyama ya Nguruwe kwenye hoteli za Dubai. Nahitaji kuajiri wafanyakazi watatu walio tayari kusafiri Kati ya Dar-Dubai kila baada ya wiki mbili, awe na passport na umri usizidi Miaka 45.

**Pia, awe na sifa za ziada zifuatazo,
1. Awe tayari kupima Afya ,(TB, HIV na Hepatitis),
2. Awe na uzoefu wa Masoko ya nchi za Kiarabu UAE, Qatar, Bahrain, Oman, Kuwait na KSA.
3. Elimu Bachelor of Commerce, Bachelor Of Business Administration toka Chuo kinachotambulika.
4. Dini yoyote hatubagui
*Vibali vya kusafirisha Nyama na Leseni ya Biashara vipi kamili.
Kupima HIV, Kuna uhusiano Gani na Kusafirisha Nyama ya Nguruwe kwenda Dubai?
 
Back
Top Bottom