Kurugenzi Serikali ya Mitaa (DLG) - TAMISEMI barua za uhamisho zimerundikana, ukiwafuata Mitumba wanachomoa yako kwa hongo ya laki 6

Pamoja na kuleta bandiko hapa nenda kwenye web ya ofisi
ya rais Utumishi kuna kitabu cha Mawasiliano serikalini chukua namba ya mh jafo ongea nae live
 
Binafsi nilishasikia kuna mtumishi alihama kwa kutoa rushwa nikasikitika sana yani MTU ananunua haki take?
 
Hayo ndio tuliyotaka wafanyakazi.
Kwani hatuwezi kuamua tunapoelekea October hiyo tarehe. Au nasi tumekubali mapambio?? Kama akipita barabarani anatoa maelfu na mamillioni yasiyopangiwa bajeti. Sisi tunabaki kupiga miayo na madeni lukuki. Kila mmoja aamue tubadili hii hali inawezekana kabisa. Sasa baasi.
 
Laki 6 watakuwa wamempata mhusika kabisa. Mimi jamaa yangu alitoa milioni moja kuhama , baaada ya barua yake kukaliwa kwa miaka 3. Umenikumbusha Comrade Jumanne Sajini wapi kijana yule kwa sasa?
Ameongoza kura za maoni butiama kupitia chama dume. Anakuja kivingine sasa.
 
Suala la uhamisho wa watumishi ni changamoto kubwa sana tena sana..rushwa imetamaradi..jafo fanyia kazi hili nalo...

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom