Kurudi Nyumbani kwaajili ya biashara

Kurudi Nyumbani kwaajili ya biashara

1. Acha ngono, kumbe ulihama nyumbani ili ufanye ngono
2.Mtaji umepungua kwasababu ya ngono, (mtaji hauwezi kuongezeka kwakujihusisha na ngono
3.Badala ya kukuza mtaji ulikuwa unanunua vitu vya ndani ili kuwavutia malaya
4.Rudi nyumbani na acha umalaya ili ukuze mtaji
Mkuu umepiga kwenye mshono hapo.
 
Mkuu umepiga kwenye mshono hapo.
Nilihama ili nibadilishe maisha yangu ikiwa ni pamoja na kuoa.

Nilipambana kununua vitu, lakini biashara yangu sikuitupa hata maramoja, kama ungekuwa unanijua basi ungesema kuwa nimepiga hatua sana kwenye biashara.

Vitu nilivyonavyo ghetto ni asilimia 20 ya asset nilizowekeza kwenye biashara (SIJISIFII, ILA NIMEWEKEZA KAKA)
 
Kaa chini utulize akili ufanye maamuzi yaliyo sahihi usikurupuke.
 
Sio Kweli, ila una ukaribia ukweli Mkuu.

Nilihama ili nibadilishe maisha yangu ikiwa ni pamoja na kuoa.

Nilipambana kununua vitu, lakini biashara yangu sikuitupa hata maramoja, kama ungekuwa unanijua basi ungesema kuwa nimepiga hatua sana kwenye biashara.

Vitu nilivyonavyo ghetto ni asilimia 20 ya asset nilizowekeza kwenye biashara (SIJISIFII, ILA NIMEWEKEZA KAKA)
Kumbe unautimamu wa akili jieleze vizuri nikushauri km mtaalamu wa kuelimisha elimu ya ujasiriamali
 
Nashinda ofisin zaidi ya masaa 12 kilasiku na ninaendesha biashara peke yangu, ninachoka kwenda na kurudi Ghetto kilasiku .

Sijaoa na wala sina mtu ambae ninaishi nae. Ghetto nikifika hakuna ninachofanya zaidi ya kulalaa na kusubiria siku nyengine kwenda kazini (SLAVERY).

NB: BIASHARA IPO KWENYE FREMU YA NYUMBANI KWETU.
Unataka ushauri ama unajieleza ulivyo, Are you sharing life experiences? or you need entrepreneurship skills development
 
Umezungumzia umbali ndo tatizo umesahau pia kununua Malaya ni tatizo,Malaya wanarudisha nyuma maendeleo.

Rudi nyumbani mpaka ujione umekaa vizuri au panga karibu na nyumbani
 
Mkuu.

Naomba usome bandiko langu tena.

Nimesema naomba ushauri, nirudi home au niendelee kuishi ghetto.

Sidhani kama kuna mtu angenielewa kama nisingejielezea zaidi ninachoki-face.

Laiti kama ningekuwa nafanya kazi masaa 4 sidhani kama ningefikiria kurudi kukaa nyumbani kaka.
Piga mahesabu ya gharama za ziada unazo zipata kulinganisha na ungeli kaa nyumbani piga pia gharama za kupanga, umeme,maji, taka,ulinzi na zingine kutokana na mazingira unayo ishi bila kusahau unazowapa malaya kuanzia vocha
 
Tafuta mke wa kuoana wakati hauna pesa, usifanye makosa ya kuoaa wakati una pesa.

Sisi Waislam tumefundishwa tuoane wakati tuna dhiki. Ni falsafa kubwa sana.

Ndoa za wakati wa dhiki zinadumu sana kuliko za kuoana wakati wa mafanikio.
Upo sahihi sana
 
Pia mke anachangamsha akili sana
 
Tafuta mke wa kuoana wakati hauna pesa, usifanye makosa ya kuoaa wakati una pesa.

Sisi Waislam tumefundishwa tuoane wakati tuna dhiki. Ni falsafa kubwa sana.

Ndoa za wakati wa dhiki zinadumu sana kuliko za kuoana wakati wa mafanikio.
Leo ndio angalau umeandika madini ila dini bado imetajwa..😂😂
 
Rudi nyumbani, hongera kuwa na biashara katika unri mdogo hivo. Rudi pambana bado mdogo sana kuwa nje ya kwenu. Rudi haraka. Viporo utapasha tu. Rudi home.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom