Tafuta mke wa kuoana wakati hauna pesa, usifanye makosa ya kuoaa wakati una pesa.Habari zenu wakuu.
Mimi ni kijana ninaefanya biashara kwenye Fremu iliyopo kwenye nyumba ya wazazi wangu, Miaka kama mitano nyuma nilihama nyumbani na kwenda kupanga chumba mbali na nyumbani Kwa wazazi, lakini shughuli zangu kipindi chote hicho bado zipo hapo nyumbani kwetu.
Nimekuwa napata tabu sana kufika kwenye biashara zangu. Gharama pia za kodi na usafiri zimekuwa changamoto, Kwasababu nilipopanga ni mbali na home kwetu (NB: Ninaweza kulipa Kodi lakini bado mtaji wa biashara hujakua kama nilivyotamani)
Sijaoa na sina Mke, nina kilakitu cha ndani eg. TV, Kabati, Kitanda, Sofa, vyombo vya ndani n.k
Suala la kuoa bado halipo kichwani mwangu Kwasababu nilijaribu kuishi na mtu lakini mwisho wa siku nilitendwa.
Ninampango wa kutafuta hela halafu ndio nioe, lengo ni kupata watoto na sio kumpenda mwanamke (NISHAWAHI KUUMIZWA NA NIMESHUHUDIA WATU WENGI WAKIUMIZWA)
Nilikuwa naomba ushauri.
NIRUDI NYUMBANI ILI NIPAMBANE KUIKUZA BIASHARA YANGU, AU NIENDELEE KUPANGA.?.
Nilipopanga nimekuwa naishi peke yangu na mwisho wa siku nimekuwa naita wanawake wa ku-do nao (Malayaa). NACHUKIA KUPAGEUZA NILIPOPANGA UWANJA WA NGONO LAKINI NASHINDWA.
Nimepanga nirudi nyumbani, kwasababu naamini ndio kuna riziki yangu BIASHARA na pia nitakuwa najiheshimu zaidi kuliko nilipopanga (Kuoa sina Mpango kwa hivi sasa)
Umri wang nina 26.

sio kweli,Tafuta mke wa kuoana wakati hauna pesa, usifanye makosa ya kuoaa wakati una pesa.
Sisi Waislam tumefundishwa tuoane wakati tuna dhiki. Ni falsafa kubwa sana.
Ndoa za wakati wa dhiki zinadumu sana kuliko za kuoana wakati wa mafanikio.
pole sanaSuala la kuoa bado halipo kichwani mwangu Kwasababu nilijaribu kuishi na mtu lakini mwisho wa siku nilitendwa
unabishia wakubwa zako sio 🤣🤣🤣🤣sio kweli,
kwahiyo vijana wasitafute pesa, wang'ang'ane umaskini ili wapate ndoa bora?
wenye hela wasioe?
Leo umeandika point ya msingiTafuta mke wa kuoana wakati hauna pesa, usifanye makosa ya kuoaa wakati una pesa.
Sisi Waislam tumefundishwa tuoane wakati tuna dhiki. Ni falsafa kubwa sana.
Ndoa za wakati wa dhiki zinadumu sana kuliko za kuoana wakati wa mafanikio.
TusechiKuwa mkakavu usirudishe mpira kwa kipa, maisha ni kupambana songs mbele.
Ile km n mke jf utapata tena mwenyewe wowowo la kutosha tu
Siyo leo tu, labda huwa unanisoma kwa uoga tu.Leo umeandika point ya msingi
1. Acha ngono, kumbe ulihama nyumbani ili ufanye ngonoHabari zenu wakuu.
Mimi ni kijana ninaefanya biashara kwenye Fremu iliyopo kwenye nyumba ya wazazi wangu, Miaka kama mitano nyuma nilihama nyumbani na kwenda kupanga chumba mbali na nyumbani Kwa wazazi, lakini shughuli zangu kipindi chote hicho bado zipo hapo nyumbani kwetu.
Nimekuwa napata tabu sana kufika kwenye biashara zangu. Gharama pia za kodi na usafiri zimekuwa changamoto, Kwasababu nilipopanga ni mbali na home kwetu (NB: Ninaweza kulipa Kodi lakini bado mtaji wa biashara hujakua kama nilivyotamani)
Sijaoa na sina Mke, nina kilakitu cha ndani eg. TV, Kabati, Kitanda, Sofa, vyombo vya ndani n.k
Suala la kuoa bado halipo kichwani mwangu Kwasababu nilijaribu kuishi na mtu lakini mwisho wa siku nilitendwa.
Ninampango wa kutafuta hela halafu ndio nioe, lengo ni kupata watoto na sio kumpenda mwanamke (NISHAWAHI KUUMIZWA NA NIMESHUHUDIA WATU WENGI WAKIUMIZWA)
Nilikuwa naomba ushauri.
NIRUDI NYUMBANI ILI NIPAMBANE KUIKUZA BIASHARA YANGU, AU NIENDELEE KUPANGA.?.
Nilipopanga nimekuwa naishi peke yangu na mwisho wa siku nimekuwa naita wanawake wa ku-do nao (Malayaa). NACHUKIA KUPAGEUZA NILIPOPANGA UWANJA WA NGONO LAKINI NASHINDWA.
Nimepanga nirudi nyumbani, kwasababu naamini ndio kuna riziki yangu BIASHARA na pia nitakuwa najiheshimu zaidi kuliko nilipopanga (Kuoa sina Mpango kwa hivi sasa)
Umri wang nina 26.
Nilikuwa naomba ushauri.
NIRUDI NYUMBANI ILI NIPAMBANE KUIKUZA BIASHARA YANGU, AU NIENDELEE KUPANGA.?.
Tafuta mke wa kuoana wakati hauna pesa, usifanye makosa ya kuoaa wakati una pesa.
Sisi Waislam tumefundishwa tuoane wakati tuna dhiki. Ni falsafa kubwa sana.
Ndoa za wakati wa dhiki zinadumu sana kuliko za kuoana wakati wa mafanikio.
mbona mnafanana tabia ? 🤨Mkuu mm sio Zero [emoji23]
ushauri mbovuTafuta mke wa kuoana wakati hauna pesa, usifanye makosa ya kuoaa wakati una pesa.