Kurudi kwa Lowassa?

Kama Lowasa ni kiongozi shupavu, Je, Kupata kiongozi mmoja shupavu na wengine wanaomzunguka legelege itatuondoa hapa tulipo?
 
Kuna kitu inaitwa destiny, you can onlt temper with it but you can't prevent!. Japa wanasema lisemwalo lipo, nakuhakikishia mdomo huumba, na kauli huumba!, tena lisemwalo hili sio lazima liwe limetamkwa bali limeandikwa!. Liandikwalo ndilo liwalo!.
Naomba na liwe kama ulivyoandika hata kama sii lazima sasa!, bali 2015!.
Pasco
 
Mimi ninaangalia majina machache ambayo huenda hayazungumzwi sana.

(1) Dr. Migiro
(2) Dr. Mwinyi
(3) Prof. Tibaijuka
(4) Dr. Kigoda
(5) ---- Membe

Unfortunately sina sababu kusapoti maoni hayo bali ni hisia zangu tu: no analytical justification.
 
Piga ua the new PM is Asha - Rose Migiro ambaye alishindwwa UN ikabiri arudi nyumbani mapema lkn kwa CCM is material thing!

Migiro hawezi kuwa pm coz siyo mbunge wa kuchaguliwa na wananchi labda wabadili vipengele vya katiba
 


Labda kuna ki2 umeona na ngoja ninyamaze kwanza!
Mmmmh!
 
Niliwahi sikia tetesi kuwa kiongozi yeyote aliyefikia ngazi ya waziri mkuu analipwa/tunzwa/wezeshwa hadi kufa kwake! Haijalishi ametumikia nafasi hiyo kwa muda gani.Je, ni KWELI? Kama ni kweli naomba kwa anaejua gharama za matunzo kwa mwezi anijuze hata kama haitakuwa sahihi kwa 100% .Pia naomba kujua idadi ya waliowahi kuwa mawaziri wakuu waliopo hai hadi leo.Kama ni kweli wanalipwa japo sijui sifa za kulipwa kama zinaishia kuwa waziri mkuu hata kama uliharibu kiutendaji wakati unatumikia nafasi ya waziri mkuu.Kamaa ndivyo,naunga mkono Mh.LOWASA kurudia nafasi yake ili kupunguza gharama za kutunza MAwaziri WAKUU waliostaafu.:lock1:
 
Sio siri, Lowasa hakamatiki kwa sasa, na kila mtanzania anajua hilo.

It is now turning to one man race....

Lakini sidhani kama kuna sababu ya msingi ya kumshinikiza waziri mkuu ajiuzuru

Mtanzania anyetumia Masabuli kufikiria hapo Lumumba, lakini siyo sisi wenye akili ok period. Pumbafuuuuuuuu
 

Lowassa harudi na Pinda atabaki hapohapo hadi 2015 ambapo atang'atuka na JK wake.
 

Hilo nalo neno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…