nilijua wagonjwa wa akili watamuunga mkono Lowassa kwa gharama ya akili zao tekeSio siri, Lowasa hakamatiki kwa sasa, na kila mtanzania anajua hilo.
It is now turning to one man race....
Lakini sidhani kama kuna sababu ya msingi ya kumshinikiza waziri mkuu ajiuzuru
Piga ua the new PM is Asha - Rose Migiro ambaye alishindwwa UN ikabiri arudi nyumbani mapema lkn kwa CCM is material thing!
Kama ni kurudi Monduli hapo uko sahihi, Kurudi ofisi ya PM, sahau super star.
Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili.
Yetu macho.
Sio siri, Lowasa hakamatiki kwa sasa, na kila mtanzania anajua hilo.

Kuna wa-tz more than 45 million, why we should recycle wazee na walioshindwa akina Lowasa. Nipeni hiyo kazi halafu mtaona shughuli
Piga ua the new PM is Asha - Rose Migiro ambaye alishindwwa UN ikabiri arudi nyumbani mapema lkn kwa CCM is material thing!
Watanzania wote?Ulifanya wapi research!?Speak for yourself.
Tatizo wewe unafanya siasa zako kwenye keyboard wakati watu wanaangalia realityWatanzania wote?Ulifanya wapi research!?Speak for yourself.
Tatizo wewe unafanya siasa zako kwenye keyboard wakati watu wanaangalia reality
Nguvu ya Lowasa sio siri tena, kila mtu anajua hilo.
Lakini sisi sio kama nyie viroba mnaotangaza wagombea urais kabla hata ya uchaguzi.
CCM ina watu wengi sana wanaofaa kuwa marais ndio maana tukaitwa chama dume