uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,351
- 1,099
duu!!! kwa huyu janga la kitaifa nchi yetu mtu anayetakiwa kwa sasa kuwa waziri ni lazima awe mkali, jasiri na amzidi raisi kimatendo ya kiutekelezaji yaani wasifanane tabia kwa maana ya kusema baba mpole mama mpole watoto unategemea watakuwaje ....mburula tuAnna Tibaijuka