Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
mroho ni mama yako mzazi kila siku anayefikiria kumsaliti baba yako
aaah.....!!!polepole banah!!
mroho ni mama yako mzazi kila siku anayefikiria kumsaliti baba yako
Njoo tunywe pamoja hukuNa CCM ndo walikutuma uchangishe rambirambi halafu ukazimalize bar?
Laana itakufuata popote, pesa ya rambi rambi unanywea pombe?Njoo tunywe pamoja huku
Kuna kitu inaitwa destiny, you can onlt temper with it but you can't prevent!. Japa wanasema lisemwalo lipo, nakuhakikishia mdomo huumba, na kauli huumba!, tena lisemwalo hili sio lazima liwe limetamkwa bali limeandikwa!. Liandikwalo ndilo liwalo!.Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili.
Yetu macho.
nilijua wagonjwa wa akili watamuunga mkono Lowassa kwa gharama ya akili zao teke
Kama ni kurudi Monduli hapo uko sahihi, Kurudi ofisi ya PM, sahau super star.
Lowassa c ypo list of of shame? Au ccm chama tawala hamjali kuhusu hilo?
Piga ua the new PM is Asha - Rose Migiro ambaye alishindwwa UN ikabiri arudi nyumbani mapema lkn kwa CCM is material thing!
Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili.
Yetu macho.
Sio siri, Lowasa hakamatiki kwa sasa, na kila mtanzania anajua hilo.
It is now turning to one man race....
Lakini sidhani kama kuna sababu ya msingi ya kumshinikiza waziri mkuu ajiuzuru
Dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka Pinda ajiuzulu na hivyo Baraza la Mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; Lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili.
Yetu macho.
Kinachoendelea bungeni ni maigizo tu ya CCM kwa krosi za kupasiwa wapinzani kwani ni planned strategy ya kuingiza watu fulani kwenye baraza la mawaziri akiwemo Migiro.
Kikwete hakwenda Marekani kwa dharura na pia tujiulize kwa nini kila sekeseke za bungeni zikitokea Kikwete anakuwa nje? Is it a merely coincidence??! Watanzania tuamke na kukataa upumbavu wa kisanii na kizandiki!