Majuto Ngozi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2013
- 211
- 50
Asha Rose Migilo ananyata
JK akikubali Lowassa kuwa PM tena atajionesha kwamba yuko weak kuliko vipimo vyote vya weakness vinavyoweza kupima.
Lowassa anaweza kuwa rais anayefuata. Umpende, usimpende, anaongelewa kama a serious contender. Lakini hana nafasi ya kuwa PM tena katika kipindi hiki. Kitakuwa ni kichekesho kikubwa.
Hata yeye mwenyewe, aliyejitoa u PM kwa sababu ya kuondoa mzozo akikubali kuwa PM tena ataonekana si tu hana msimamo, bali pia mroho wa madaraka asiye mahesabu ya kujua kwamba wa Tanzania wanamuheshimu sana rais na makosa yote ya uongozi anayabeba PM.
Lowassa ana chances za kuwa rais, kwa nini aharibu chances hizo kwa kurudi kuwa PM? Kazi yenye majukumu yenye majungu na mikingamo ya aina yote?
Kwa kutumia hesabu hizo hizo za kutoka kwenye limelight ili kujiepusha na habari za mikingamo na majungu ndiyo maana hata mtu kama Hilary Clinton, ambaye anaonekana anautaka urais wa Marekani na ana nafasi kubwa kuuwania, akaamua kukaa pembeni, hizi rabsha rabhsa mara Benghazigate mara nini sijui akaona zinampunguzia umaarufu.
Lowassa would do well to stay a backbencher for now if he is to look consistent, dignified and free of a wanton greed for power.
But then again that is just my logical analysis.
Who said Tanzanian politics is logical and subject to analysis?
Na Pinda kuondolewa pale ni kazi. Tanzania PM mzembe anaweza kupeta kwa sababu rahisi kama "tuna mawaziri wakuu wastaafu wengi - Msuya,Salim, Warioba, Malecela and even Lowassa fiscally is supported as a retired PM- tukiongeza itakuwa mzigo mkubwa kwa serikali".
Especially because the Kikwete administration has only about two years to go anyway.
And Kikwete's philosophy is "yatapita na upepo haya tu".
. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa CCM kama Lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo Lowassa ni mbunge gani mwingine wa CCM kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa Waziri Mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa Waziri Mkuu kurudia kiti chake mara ya pili.
Yetu macho.
Tatizo wewe unafanya siasa zako kwenye keyboard wakati watu wanaangalia reality
Nguvu ya Lowasa sio siri tena, kila mtu anajua hilo.
Lakini sisi sio kama nyie viroba mnaotangaza wagombea urais kabla hata ya uchaguzi.
CCM ina watu wengi sana wanaofaa kuwa marais ndio maana tukaitwa chama dume
JK akikubali Lowassa kuwa PM tena atajionesha kwamba yuko weak kuliko vipimo vyote vya weakness vinavyoweza kupima.
Lowassa anaweza kuwa rais anayefuata. Umpende, usimpende, anaongelewa kama a serious contender. Lakini hana nafasi ya kuwa PM tena katika kipindi hiki. Kitakuwa ni kichekesho kikubwa.
Hata yeye mwenyewe, aliyejitoa u PM kwa sababu ya kuondoa mzozo akikubali kuwa PM tena ataonekana si tu hana msimamo, bali pia mroho wa madaraka asiye mahesabu ya kujua kwamba wa Tanzania wanamuheshimu sana rais na makosa yote ya uongozi anayabeba PM.
Lowassa ana chances za kuwa rais, kwa nini aharibu chances hizo kwa kurudi kuwa PM? Kazi yenye majukumu yenye majungu na mikingamo ya aina yote?
Kwa kutumia hesabu hizo hizo za kutoka kwenye limelight ili kujiepusha na habari za mikingamo na majungu ndiyo maana hata mtu kama Hilary Clinton, ambaye anaonekana anautaka urais wa Marekani na ana nafasi kubwa kuuwania, akaamua kukaa pembeni, hizi rabsha rabhsa mara Benghazigate mara nini sijui akaona zinampunguzia umaarufu.
Lowassa would do well to stay a backbencher for now if he is to look consistent, dignified and free of a wanton greed for power.
But then again that is just my logical analysis.
Who said Tanzanian politics is logical and subject to analysis?
Na Pinda kuondolewa pale ni kazi. Tanzania PM mzembe anaweza kupeta kwa sababu rahisi kama "tuna mawaziri wakuu wastaafu wengi - Msuya,Salim, Warioba, Malecela and even Lowassa fiscally is supported as a retired PM- tukiongeza itakuwa mzigo mkubwa kwa serikali".
Especially because the Kikwete administration has only about two years to go anyway.
And Kikwete's philosophy is "yatapita na upepo haya tu".
dalili zote zinaoonesha kuwa kilio cha wabunge kutaka pinda ajiuzulu na hivyo baraza la mawaziri livunjike lina dalili moja kubwa; lowassa's comeback. Sidhani kama kuna mwanasiasa mwingine yeyote ambaye anaweza kupata kuungwa mkono na wabunge wa ccm kama lowassa. Kurudi kwake itakuwa ni kupata second chance na kujipanga vilivyo kwa ajili ya 2015. Kama siyo lowassa ni mbunge gani mwingine wa ccm kutoka majimbo ya kuchaguliwa anayeweza kupata support na heshima ya kuwa waziri mkuu? Haitakuwa mara ya kwanza kwa waziri mkuu kurudia kiti chake mara ya pili.
Yetu macho.
I concur with you.
Atakua mwanasiasa wa ovyo zaidi kukubali kurudi
Hata hivyo alivyo mroho anaweza akashindwa ku-reason.