Bora kuludia 4m 2Naombeni ushauri wadau anayejua,Kati ya Kurisit naKusoma QT kipi bora?Ikiwezekana nipeni maelezo QT ilivyo,Ada yake,Namna ya kujisajili na Usomaji wake.Nina mdogo angu alifeli form4 ila sasa ana nia kweli ya kusoma.Ahsanteni.
Upo mkoa gsniMie nilipata crdt 1 ya kiswahili ila nimepata bahati nimeajiliwa serikalini na nilikua na wazo na kureset ila nasikia asaivi ni lazima urudie masomo yote kweli?
Hahahaha...! msuli wake ni hatari. Hongera kwa kuchomoa Credit.Kwa ninavyo faham mimi kuwa QT ni kwa mtu ambaye hajawai Fanya mtihani wa form 2 ndiye anaruhusiwa kuanza QT ila kuresiti ni kwa mtahiniwa ambaye ameshawai fanya mtihani wa form 2,hivyo basi yeye anahitajika kurisiti bt akomae kweli aache mchezo akikomaa ni rahisi atafaulu tu coz mm ni miongoni mwa mtu niliyewai risiti nikafanikiwa kufauli now nipo chuo so ajaribu rudiakidato cha 3 kwa maandalizi mazuri.
Sina hakika ila jaribu kuchek matokeo ya NECTA ya Private Candidate mwaka jana kama walifanya masomo yote au la.Mie nilipata crdt 1 ya kiswahili ila nimepata bahati nimeajiliwa serikalini na nilikua na wazo na kureset ila nasikia asaivi ni lazima urudie masomo yote kweli?
kama kuristi si unaenda 5 ukipasi,Kama atarisiti mwambie aache mchezo kabisaa, mimi ni mfano hai. Nilipata Credit moja ya Kiswahili 2010, nikarisiti masomo 3 mwaka 2011 kutafuta Credit 2. Huwez kufaulu kama hujui sababu iliyofanya ufeli. Nilijua sababu ilofanya nifeli nikaiacha nikawa busy na kitabu. Nilisoma zaidi ya kusoma na wakati huo nasoma masomo ya Form 5 huku narisiti (Yaani unasoma Form 5 huku unarisiti ili ukipata credit unaunga kidato cha 6 lakn usipopata credit safari inaishia hapo hakun kwend form 6). Ratiba yangu ilikuw hivi; Saa 1:00 nipo shule ndani ya geti nazama maktaba napiga msuli mpaka wanapofunga maktaba 12:30Jion hapo sijala napiga tu maji ya kunywa. Nikrud nyumban nakula ikifika 2:00 msul mpaka 5 naingia kulala naamka saa9 napga msuli hadi saa11:30 nalala kisha saa 12:30 najiandaa kwend shule. Hapo pote napitia Past Papers za nyuma kwa umakini mkubwa mno na kupiga test za shule. Mungu saidia nikapata Credit 2 kati ya masomo 3 niliyorisiti na sasa nimehitimu Chuo Kikuu.
Ali reset hku anapga 5 mkuu..majbu yalpotoka akanyosha 6..kama kuristi si unaenda 5 ukipasi,
uliendaje 6 moja kwa moja
Kituo gani hicho?kama uko mwanza kuna kituo cha ku.resit na tunafundisha masomo yote kwa uzito sawa...kuna hostel kama utapenda kuishi pale ...wapo wengi waliokuja wamekata tamaa ila sasa wameona inawezekana kufaulu
Ni uamuzi wako, wapo wanaorisiti wakiwa form 4 na wale wanaopiga 5 huku anarisiti. Kwa upande wangu ilikuwa hivi, nilikuwa napiga TWO IN ONE yaani vidato viwili kwa wakati mmoja. Napiga Form 5 huku nasoma masomo ya kidato cha nne(Remedial classes) lakini kumbuka napiga Form 5 huku sina sifa za kuwa Form 5 ambapo ukidunda Form 6 huendi maana huna credit kwa hiyo ni juhudi zako. Kufika mwezi wa 7 nikawa naingia Form 5 kwa kudesh maana nilijitambua mapema kuwa sina sifa nikarudi kukaa kidato cha nne napiga nao msuli. Nilipofaulu nikaunga 6 na wale wenzangu wa Form 5. Hii mbona ipo na inafahamika ila Form 6 utapiga tena kama PC. Sijui umenipata ama la?kama kuristi si unaenda 5 ukipasi,
uliendaje 6 moja kwa moja
Siku hizi hakuna kuungaunga credit km unarisitt ujue unayakana matokeo ya awali unatafuta credit zote 3 upyaDhaaa umenishawishi na me niende shule aise me nimekosa C moja ya history
Hiyo ni zamaniNi uamuzi wako, wapo wanaorisiti wakiwa form 4 na wale wanaopiga 5 huku anarisiti. Kwa upande wangu ilikuwa hivi, nilikuwa napiga TWO IN ONE yaani vidato viwili kwa wakati mmoja. Napiga Form 5 huku nasoma masomo ya kidato cha nne(Remedial classes) lakini kumbuka napiga Form 5 huku sina sifa za kuwa Form 5 ambapo ukidunda Form 6 huendi maana huna credit kwa hiyo ni juhudi zako. Kufika mwezi wa 7 nikawa naingia Form 5 kwa kudesh maana nilijitambua mapema kuwa sina sifa nikarudi kukaa kidato cha nne napiga nao msuli. Nilipofaulu nikaunga 6 na wale wenzangu wa Form 5. Hii mbona ipo na inafahamika ila Form 6 utapiga tena kama PC. Sijui umenipata ama la?
hawezi kurudia fm3 hiyo haipo kwa siku hizi labda fom2Ila kama ni science kwa huu upepo wa sasa bora arudie form three upya maana credit ni ngumu na ndalichako anaelekea kukataa vyeti vya kuunga unga. ...
Sio kweliSiku hizi hakuna kuungaunga credit km unarisitt ujue unayakana matokeo ya awali unatafuta credit zote 3 upya
Know this
Sina uhakika kuhusu kurudia tote ila kuunganisha credit hakuna yaani km unarudia unatafuta credit 3 upya haijalishi mwanzo ulikuwa nazo ngapiMie nilipata crdt 1 ya kiswahili ila nimepata bahati nimeajiliwa serikalini na nilikua na wazo na kureset ila nasikia asaivi ni lazima urudie masomo yote kweli?
OKSio kweli
Umenikumbusha mbali sana, ila hongera kijana tena natudia tena hongera.Kama atarisiti mwambie aache mchezo kabisaa, mimi ni mfano hai. Nilipata Credit moja ya Kiswahili 2010, nikarisiti masomo 3 mwaka 2011 kutafuta Credit 2. Huwez kufaulu kama hujui sababu iliyofanya ufeli. Nilijua sababu ilofanya nifeli nikaiacha nikawa busy na kitabu. Nilisoma zaidi ya kusoma na wakati huo nasoma masomo ya Form 5 huku narisiti (Yaani unasoma Form 5 huku unarisiti ili ukipata credit unaunga kidato cha 6 lakn usipopata credit safari inaishia hapo hakun kwend form 6). Ratiba yangu ilikuw hivi; Saa 1:00 nipo shule ndani ya geti nazama maktaba napiga msuli mpaka wanapofunga maktaba 12:30Jion hapo sijala napiga tu maji ya kunywa. Nikrud nyumban nakula ikifika 2:00 msul mpaka 5 naingia kulala naamka saa9 napga msuli hadi saa11:30 nalala kisha saa 12:30 najiandaa kwend shule. Hapo pote napitia Past Papers za nyuma kwa umakini mkubwa mno na kupiga test za shule. Mungu saidia nikapata Credit 2 kati ya masomo 3 niliyorisiti na sasa nimehitimu Chuo Kikuu.
Nani alokudanganya wewe, kungekuwa hakuna hicho kitu hata kurisiti kungefutwa.Hiyo ni zamani
Now hakuna mambo ya kuunganisha credit...unatakiwa uwe na Credit 3 za kikao kimoja