Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

Haya matokeo ni ya kweli kama yalivyotangazwa jana usiku.

Tatizo langu na hawa ITV ni kitendo cha kushindwa kutoa idadi ya watu waliotoa maoni hayo (sample size). Hili linatufanya tuone hii kura ya maoni kama mchezo wa kitoto.

Naamini ITV watalifanyia kazi!

Ulitaka watu wangapi kama sample size ili ufurahi..
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!
Wewe kama umesoma chuo basi ni cha kata. Hujui taratibu za kufanya utafiti. Labda nikufundishe maana labda umesoma st. joseph, utafiti huwa unachukua sample then tunageneralize to the rest population. Hakujawahi tokea utafiti duniani ukahoji watu nchi mzima. Hata upigaji kura hauusishi watu mil.45.

Lijitu jinga kama wewe ndio huwa linaweza waza ka wale wabunge wa ccm waliotaka Warioba akahoji watu mil. 45 bila kujua wapo wagonjwa na watoto kati ya hizo mil.45 na kwamba duniani kote tafiti hazifanywi kwa watu au hata wanyama wote.

Ukiwa ccm aiseeh unakuwa mjinga ka hiki kiazi!!!"
 
Hivi wewe unaelewa maana ya matokeo ya sampling?

Duniani kote utafiti wa sampling wa type hiyo wanayofanya ITV huwa inafanyika na in most cases huwa inatoa reflection halisi ya maoni ya walio wengi.

Inawezekana kabisa wewe umeamua kwa makusudi 'kuyakana' matokeo hayo kwa sababu moja tu kubwa nayo ni kwa sababu tayari usha-taste utamu wa maji ya kijani.

Uko sawa ila ITV wamekuwa na tabia ya kuficha idadi ya watu waliotoa maoni wanayoyatangaza. Hilo siyo sawa kabisa kwa sababu linatunyima nafasi ya kupima ni kwa kiasi gani maoni hayo yanaakisi hali halisi.

Presenting any research results without the sample size is unethical!
 
vipi kuhusu wapumbavu walioipitisha katiba pendekezwa walikuwa asilimia ngapi ya watanzania wote?
Tatizo la huyo Rutta mapenzi yake kwa timu ya kijani yamemfanya mpaka kuwa kipofu asiweze kuona na kumfanya kiziwi asiweze hata kusikia!
 
Kura ya wananchi ya maoni iliyoendeshwa na ITV kupitia swali la Kipima Joto kuhusu Bunge la Tanzania limeacha simanzi kubwa ndani ya chombo hicho.

Swali lilisema ..Je bunge la Jamhuri ya Muungano linalomaliza uhai wake limekidhi matarajio ya wananchi?

Wananchi wengi waliotoa maoni kwa njia ya wazi namitandao ya kijamii walilaani bunge hilo kugeuzwa kama mkutano wa CCM kwa muda wote wa uhai wake kutokana na ubabe na ukandamizaji wa Spika Anne Makinda na hivyo kupelekea kupitishwa hoja za kijinga kabisa kwa matakwa ya CCM tu.

Matokeo rasmi yalikuwa:
Limekidhi matarajio 0%
Halijakidhi matatajio 90%
Sijui 10%

Hayo ndiyo maoni ya Watanzania na inaonekana wananchi wanafuatilia kinachoendelea.
Mkuu unafanya reference kwenye kipima joto daah!!!
 
Makinda amewaangusha sana wanawake na kudhihirisha Tanzania haijawa tayari kuongozwa na mwanamke.

Hili limekuwa ndiyo bunge la hovyo ever kati ya mabunge yote yaliyotangulia, naweza kusema bora ya bunge la mzee wa viwango.

Sijui 0%,halijakidhi matarajio 91%,limekidhi matarajio 9%

Hizo takwimu za pili ndoi sahihi. Spika kachoka kazi. Kafukuza majembe yote kabaki na mafisadi. Wanajua kula na kusinzia.
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

Ni kawaida kwa mlevi kupata ajari BAR... ila sio kwa mwelewa kushindwa kuelewa kitu kidogo km hiki.. IQ approaching to ZERO
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

unafahamu maana ya utafiti?

unafahamu utafiti unavyofanyika?
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

Hivi ukisikia kuwa kati ya watoto wako wanne, wawili ni wa kwako, mmoja hajasomeka lakini mmoja mkeo aliomba zawadi ya ukumbusho toka kwa mshikaji utajisikiaje? Tena huyo wa ukumbusho awe ndiyo the most recent, yaani dogo lao ambalo unalipa attentions zote!!
Sina maana ya kukutia machungu ila najaribu kukuonyesha hizi figures unazozi dharau namna ziluvyo na maama nzito kwa walengwa.

I'm sory mkuu, but I have to give such an example
 
Mkuu unafanya reference kwenye kipima joto daah!!!

Why not. . . . .Kwani huko kwenye chama mnapopitisha majina matano kwa niaba ya wanachama wote kunatofauti gani na "rationale" ya kipima joto??!!!
 
Hivi ukisikia kuwa kati ya watoto wako wanne, wawili ni wa kwako, mmoja hajasomeka lakini mmoja mkeo aliomba zawadi ya ukumbusho toka kwa mshikaji utajisikiaje? Tena huyo wa ukumbusho awe ndiyo the most recent, yaani dogo lao ambalo unalipa attentions zote!!
Sina maana ya kukutia machungu ila najaribu kukuonyesha hizi figures unazozi dharau namna ziluvyo na maama nzito kwa walengwa.

I'm sory mkuu, but I have to give such an example

Dont be sory as melting an iron by heat in order to forge a tool is mandated to a smith. . . . Either way you gotta crack some eggs to bake a cake. . . . .
 
Rutta umesoma statistics? Kama ndio hata hao 60 wanatosha kubashiri,ukichukua watu 60 randomly ukawahoji kuhusu kukizi kwa bunge la makinda unaweza kupata maoni yao vizuri tu.

Bavicha uhitaji kusoma statistics kujua si kila tafiti zina refrect ukweli au ni ukweli....kwa swali hilo lililojibiwa na wanachadema halafu utegemee nini?
 
Hii miswaada inayo pitishwa hata mm ni ccm sikubalianinayo hvy unajua kutoa maamuz kwa kizazi kijacho ni kosa mbele ya mungu

Umeisoma miswada au unafata kinacho semwa?
 
Bavicha uhitaji kusoma statistics kujua si kila tafiti zina refrect ukweli au ni ukweli....kwa swali hilo lililojibiwa na wanachadema halafu utegemee nini?

Kwani nature ya swali inataka ndio au hapana au inahitaji zaid ya majibu hayo??!!
 
Mwanzisha mada siku zote namwonaga kama punguani wa akili
 
Back
Top Bottom