Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

Kwa mpumbavu kama ww ndo unaweza ukaweka maoni ya kijinga kiasi hiki..nini maana ya sample ulisoma statistics ww?Kama uchache wa waliohojiwa hauwezi kuwakilisha maoni ya waTz p Kikwete kipindi cha pili alipigiwa kura na % ngapi ya WaTz?Kwa ujinga ulionao ww unapokwenda kupima ugonjwa hospitalini huwa wanatoa damu yote kupata matokeo?Utakufa kwa umasikini wako kama Supika wako...Ww unaleta mahaba badala ya uhalisia!Shame upon your ugly face!

Dah!! yani umemkamata pazuri sana huyo kibaraka.
 
Aisee leo umejitia aibu sana kwa kuandika hivi. . . . uko mbali sana na ulimwengu wa utafiti. . . . sampling kwako ni giza tupu??!! Sio tafiti zote zinataka "idadi ya walioshiriki" ili kufikia majumuisho. . .

Anakataa matokeo aliyokuwa anayakubali miaka iliyopita.
 
Acha kuweweseka kijana hayo matokeo umetunga wewe kichwani mwako ukayapaste hapa acha uongo wako hapa
Wewe Jay Milionea hujaangalia taarifa ya habari ya ITV jana saa 2 usiku?

Ni kweli kabisa matokeo hayo yalitolewa hivyo na wala molemo hajatia chumvi hata kidogo.
 
Makinda amewaangusha sana wanawake na kudhihirisha Tanzania haijawa tayari kuongozwa na mwanamke.

Hili limekuwa ndiyo bunge la hovyo ever kati ya mabunge yote yaliyotangulia, naweza kusema bora ya bunge la mzee wa viwango.

Kwa huyo ndo best woman toka CCM, Tanzania bado saaaaana kumpata mwanamke ndani ya CCM atakayeweza kushika nafasi za juu za uongozi. Nafikiri nafasi za viti maalum zinawatosha.
 
Ruttashobolwa

Mkuu Ruta
Heshima mbele, nadhani ktk watu 45m kama tungefanikiwa kuwapata wote bado matokeo ya kutokuwa na imani ya bunge hili ingekuwa kubwa.
-Wananchi wana ueledi mkubwa kwa sasa mbinu inayotumiwa na CCM ni old fashion na kwa mtindo huu watatusababishia majanga. Huku ni kujisahau na kuwafanya watu wajinga.
-Mara zote spika Makinda ameonyesha udhaifu mkubwa ktk utendaji wake wote hilo halipingiki,huyo siyo spika au mwenyekiti wa mikutano ya kichama ni spika wa bunge la wananchi toka vyama tofauti.
-Tuwe wakweli hasa kunapokuwa na issue ya kitaifa, tuweke masilahi ya taifa kwanza ndugu zangu.
N.B
Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa,hivyo sina upendeleo wowote kichama.
 
Last edited by a moderator:
ccm kusoma hawajui lkn hata picha hawaoni. TUTAWASHUGHULIKIA KIKAMILIFU!!!!
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

Kweli nimeamini wewe ni zuzu!
 
Haya matokeo ni ya kweli kama yalivyotangazwa jana usiku.

Tatizo langu na hawa ITV ni kitendo cha kushindwa kutoa idadi ya watu waliotoa maoni hayo (sample size). Hili linatufanya tuone hii kura ya maoni kama mchezo wa kitoto.

Naamini ITV watalifanyia kazi!
 
bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

mitoto ya ccm laana tupu.
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

We Jamaa ni kiazi kabisa laiti kama ungekuwa daktari ungekuwa unachukua damu lita kumi kwa mtu mmoja kumpima malaria.
 
Molemo next time don't dare to post rhetorics kama hizi................wasomi wengi wanakushangaa sana ndugu yangu
Hivi wewe unaelewa maana ya matokeo ya sampling?

Duniani kote utafiti wa sampling wa type hiyo wanayofanya ITV huwa inafanyika na in most cases huwa inatoa reflection halisi ya maoni ya walio wengi.

Inawezekana kabisa wewe umeamua kwa makusudi 'kuyakana' matokeo hayo kwa sababu moja tu kubwa nayo ni kwa sababu tayari usha-taste utamu wa maji ya kijani.
 
Rutashobolwa we nshomile however the sample small might be it signals something


Huyo Ruttashobolwa alikuwa na hoja kuhusu sample size kutotajwa. Hilo linatufanya tusiwe na imani sana (confidence) na matokeo.

Tatizo lake ni kuchanganya hoja za maana na ushabiki wa chama au mahaba kwa upande anaushabikia!
 
Last edited by a moderator:
We Jamaa ni kiazi kabisa laiti kama ungekuwa daktari ungekuwa unachukua damu lita kumi kwa mtu mmoja kumpima malaria.
Duh..... nimeipenda sana hii.

Hakika umempa za uso za kutosha huyo gamba aka buku 7.
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

Kati ya wewe na yeye nani mjinga..wewe umeonesha ujinga zaidi.. unajua maana ya sampling..umewai kufanya utafiti..? ujinga ni kipaji
 
Makinda kwa muda wote aliotumikia bunge amekuwa akitumika kama remote ya ccm. Amejidhalilisha mwenyewe, amelidhalilisha bunge, amesababisha watanzania tuwe na imani kwamba ni mapema bado mwanamke kupewa nafasi muhimu.... Amewaangusha wanawake

Nenda kajisaidie ulale hujui usemalo wala hujui Nchi inavyoendeshwa
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

vipi kuhusu wapumbavu walioipitisha katiba pendekezwa walikuwa asilimia ngapi ya watanzania wote?
 
Back
Top Bottom