Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Akili za makinda zipo mfukon mwa fisad kikwete,akili za wabunge wa ccm zipo mfukon mwa fisad kikwete,hii ni aibu sana
nikwel huhusu hayo matokeo hata mi nimeona tatizo asilimia kubwa ya watanzania hawana uelewa kabisa tofauti nawale wanaoshnda katika mitandao ambao ni wachache na ccm inatake that advantage of many foolish and ignorant of tanzania ambao wanaona ni right government
Makinda amewaangusha sana wanawake na kudhihirisha Tanzania haijawa tayari kuongozwa na mwanamke.
Hili limekuwa ndiyo bunge la hovyo ever kati ya mabunge yote yaliyotangulia, naweza kusema bora ya bunge la mzee wa viwango.
Dart City, inawezekana kabisa uko sahihi lakini kama hutowaamini kwa matokeo yao utaiamini vipi sample size yao, je wakisema ni 50 au 2,000 utawaamini?
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!
Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!
Unaoneka huelewi ama utaki kuelewa kumbuka hata kura hawapigi watu wote lakini ina reflect maamuzi ya wote.Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!
Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!
Mjinga ni wewe usiejua hata maana ya sampling. Kikwete ni Rais wa Tanzania nzima ingawa kachaguliwa (kama ni kweli) na Watanzania wasiozidi wala kufikia hata robo
Wala hakuchaguliwa
Nakubali kabisa Dark City, sample size hatuijui consequently low confidence. LAKINI kwa vile mwenendo wa Makinda bungeni umetia mashaka sana kwa watu wengi na kuulalamikia (kama unakumbuka hata viongozi wa dini walilalamika kutotenda haki). Hivyo swali hili lilikuwa very sensitive kwa wengi wakajibu kama matokeo yalivyooonyesha. Ndio msingi wangu kuwa kweli hatujui sample size, lakini kuna kitu inaashiria hayo matokea pamoja na kuwa hatujui sample size. MUKAIKULU OLAFA KYAGAMBWA BANAI (4-ONLY FOUR)
Bavicha!
Mimi bado nasema ITV ni waongo...hebu niambie sample size iliyo tumika ni ngapi?
Hata ingetumika watu kumi,cha msingi katika wale kumi waliopiga kura wamesema nini?
Ni sawa na wale wanaompigia debe Lowassa huwa wanafika wangapi?Nina uhakika sample ya ITV ni kubwa zaidi kuliko ile ya wale wapambe.Pole Bi Mkora kaharibu siyo Bunge tu hata sifa ndogo ya WANAWAKE.
Bavicha!
HebuTwambie ni sample size ngapi imetumika kwenye hilo swali lao?
Pambaf la wasaliti hata halijui maana ya sampling pumbavu mkubwa halafu unajifanya mwanasheria peleka utapeli wako hukoBavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!
Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!
Sifa ndogo??? Sifa ndogo ya mama yako, mkeo, dada yako, binti yako, shangazi yako na mama yako MDOGO????
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!
Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!
Mkuu Mungi kuna watu huwa wanakurupuka kujibu kwa kuangalia jina la mleta mada bila kusoma content ya mada husika, labda ningemuona wa maana kama angehoji weledi wa waandaaji wa kipindi cha Kipima Joto.