Asilimia kubwa ya watanzania wanaotumia simu hujiunga na vifurushi,kwa haraka kati ya sms 100,000 zinazotumwa ndani ya tz na watz sms 1 ndio hutumwa nje ya kifurushi,ktk hyo sms 1,zikiwa 100,98 huwa ni za kimakosa,either mtu kajiunga lakini anakuwa hajaunganishwa hvyo anaituma bila kujijua kuwa anatumia hela badala ya kifurushi,hzo 2 zilizobaki,zikiwa 10,6 huwa ni zile mtu hana kifurushi na kabakiwa na salio ambalo halitoshi kujiunga hvyo anatuma sms km emergency,hzo 4 ndio huwa zinatumwa na wale ambao huwa hawahitaji kujiunga
Kipima joto hakikubali sms za vifurushi,unakatwa dolar 0.1,karibu sh 200,ni watz wangapi watajitolea kukatwa hzo pesa?kwa faida gani wanayoipata,kwa mantiki hii,kutokana na hzo takwimu,inaonyesha wazi waliotuma walikuwa na malengo yao kisiasa,na ni hao ndio wamejitolea kutuma hzo sms kwa manufaa yao,na naamini ingawa sina uhakika,karibia wote humu tuliochangia huu uzi hakubna aliyepiga kura kwenye hicho kipimajoto,kwahyo hyo sampling haifai,tuwe wakweli.....mfano walipiga kura watu 10,9 wakakataa,mmoja akasema hajui,still itakuwa ndio 0%,hapana 9% na sijui 1%, je wangepiga 20 halafu ikawa 10 ndio,9 hapana na 1 sijui bado data zibgekuwa hivyo,hata unapotumia literature review,ukaona njia inayotumiwa kukusanya taarifa kuwa na vikwazo vingi huwezi tumia hzo data...lets facts lead the way