Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

Kura yamuumbua Spika Anne Makinda

Nikwel huhusu hayo matokeo hata mi nimeona tatizo asilimia kubwa ya watanzania hawana uelewa kabisa tofauti nawale wanaoshnda katika mitandao ambao ni wachache na ccm inatake that advantage of many foolish and ignorant of tanzania ambao wanaona ni right government

Kama projection yao inaishia hapo basi mwisho hauko mbali. . . . .mitandaoni hawashiriki, vipi bei ya bidhaa madukani, masoko ya mazao, huduma za kijamii??!!

Watu wameamka na wanaendelea kuamka vijijini hakuna sehemu za kutembea kwa hiyo mikutano kwao ni outing, sehemu ya kuvaa vizuri, kusikiliza mziki na mengineyo . . . . . . . . mwenye macho haambiwi tazama
 
Kura ya wananchi ya maoni iliyoendeshwa na ITV kupitia swali la Kipima Joto kuhusu Bunge la Tanzania limeacha simanzi kubwa ndani ya chombo hicho.

Swali lilisema ..Je bunge la Jamhuri ya Muungano linalomaliza uhai wake limekidhi matarajio ya wananchi?

Wananchi wengi waliotoa maoni kwa njia ya wazi namitandao ya kijamii walilaani bunge hilo kugeuzwa kama mkutano wa CCM kwa muda wote wa uhai wake kutokana na ubabe na ukandamizaji wa Spika Anne Makinda na hivyo kupelekea kupitishwa hoja za kijinga kabisa kwa matakwa ya CCM tu.

Matokeo rasmi yalikuwa:
Limekidhi matarajio 0%
Halijakidhi matatajio 90%
Sijui 10%

Hayo ndiyo maoni ya Watanzania na inaonekana wananchi wanafuatilia kinachoendelea.
Ndugu yangu unadhalilisha sana UDSM kwani sample size Ilikuwa na idadi gani? What was unit of analysis? Hapo wanaweza kuwa watz 10 tu then Unafanya conclusion kwa sample size hiyo kweli? Molemo ndugu yangu you better stay quite kuliko kuandika rhetorics kama hizi.......
 
Molemo next time don't dare to post rhetorics kama hizi................wasomi wengi wanakushangaa sana ndugu yangu
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!
Kwa mpumbavu kama ww ndo unaweza ukaweka maoni ya kijinga kiasi hiki..nini maana ya sample ulisoma statistics ww?Kama uchache wa waliohojiwa hauwezi kuwakilisha maoni ya waTz p Kikwete kipindi cha pili alipigiwa kura na % ngapi ya WaTz?Kwa ujinga ulionao ww unapokwenda kupima ugonjwa hospitalini huwa wanatoa damu yote kupata matokeo?Utakufa kwa umasikini wako kama Supika wako...Ww unaleta mahaba badala ya uhalisia!Shame upon your ugly face!
 
hivi wewe tangu zamani ulikuwa hivi au umebadilika hivi karibuni? ngoja nikichukua laptop nitakuchunguza kujua 2010 ulikuwa unaandika nn na leo unaandika nn

Nakumbuka 2011 mwenye id ya Ruttashobolwa alikuwa upinzani, mimi nikiwa kwa mafisiemu, lakini ghafla alibadilika. Nadhani alipata uzee, akili ikakoma kufikiri, ndo akajiunga sisyemu
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu unadhalilisha sana UDSM kwani sample size Ilikuwa na idadi gani? What was unit of analysis? Hapo wanaweza kuwa watz 10 tu then Unafanya conclusion kwa sample size hiyo kweli? Molemo ndugu yangu you better stay quite kuliko kuandika rhetorics kama hizi.......

Naona ACT unaungana na CCM kupambana na umma.Hakika nyie ni ndugu moja
 
Molemo next time don't dare to post rhetorics kama hizi................wasomi wengi wanakushangaa sana ndugu yangu

Vipi jana kiongozi mkuu alitaja majina ya walioficha fedha Uswiss?
 
Molemo next time don't dare to post rhetorics kama hizi................wasomi wengi wanakushangaa sana ndugu yangu

Na wewe kama ndiyo sample ya wasomi basi dah! unakidhalilisha chuo ulichosomea..... Kanunue tv na king'amuzi ujue yanayoendelea
 
sijawahi kupoteza muda wangu kukaa kuanza kusikiliza bunge nilisha onaga bunge ni lakipumbavu na limekaa kishabiki zaidi watu ambao wanaongea mambo ya maana wanaonekana hawana akili watu ila wanaongea utumbo wanaonekana wanaakili sana halafu wanapigiwa na makofi kwanini nipoteze muda kuangalia bunge la kinafiki na sijawahi kuona duniani bunge la kinfiki kama tanzania
 
Tusiwe watu wa kupinga tu kama unapinga we to a yakwako ambayo unaona ni sahihi
 
Ndugu yangu unadhalilisha sana UDSM kwani sample size Ilikuwa na idadi gani? What was unit of analysis? Hapo wanaweza kuwa watz 10 tu then Unafanya conclusion kwa sample size hiyo kweli? Molemo ndugu yangu you better stay quite kuliko kuandika rhetorics kama hizi.......
Kama na wewe ni product ya UDSM basi unadhalilisha hadhi ya chuo, unashindwa kuelewa vitu simple kabisa kuwa mleta mada ame ripoti taarifa kutoka ITV, watu sahihi wa kuulizwa sample size ni wa ITV siyo Molemo.
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!

uv-nyinyiemu wewe lijinga na lipumbavu sana,kwani hujui kuwa hao ambao unasema hawazidi watu 60 ni sample size tu! ulitaka wafanye sensor!!??
 
watu wengne kero sn, badala ya kutoa maoni yao ktk mada husika.
wao kazi kupinga na kukosoa wengne.

SIPENDI TABIA HII
 
Na wewe kama ndiyo sample ya wasomi basi dah! unakidhalilisha chuo ulichosomea..... Kanunue tv na king'amuzi ujue yanayoendelea
Mkuu Mungi kuna watu huwa wanakurupuka kujibu kwa kuangalia jina la mleta mada bila kusoma content ya mada husika, labda ningemuona wa maana kama angehoji weledi wa waandaaji wa kipindi cha Kipima Joto.
 
Rutta umesoma statistics? Kama ndio hata hao 60 wanatosha kubashiri,ukichukua watu 60 randomly ukawahoji kuhusu kukizi kwa bunge la makinda unaweza kupata maoni yao vizuri tu.
 
Ni sawa sawa na kusema Bunge linaungwa mkono kutokana na kura za maoni za gazeti la UHURU.


ITV ni kama gazeti la Uhuru kwa upande wa pili,Lowassa akiteuliwa sijui watajigawa vipi
 
Bavicha wewe ni mjinga unashindwa kujua hata kwenye watu mia kuna asilimia 100? Hao watu hawazidi 60 walio toa maoni Hivyo hayana tija kwa watanzania 45 million!

Mtu akifanya vurugu lazima ashikishwe adabu!
We ni motto Wa makinda
 
watu wengne kero sn, badala ya kutoa maoni yao ktk mada husika.
wao kazi kupinga na kukosoa wengne.

SIPENDI TABIA HII
Mkuu njaa ndio inayowasumbua mpaka wanashindwa kuchanganua mambo,wako kama vipofu hawaoni chochote
 
Back
Top Bottom