Kura ya wananchi ya maoni iliyoendeshwa na ITV kupitia swali la Kipima Joto kuhusu Bunge la Tanzania limeacha simanzi kubwa ndani ya chombo hicho.
Swali lilisema ..Je bunge la Jamhuri ya Muungano linalomaliza uhai wake limekidhi matarajio ya wananchi?
Wananchi wengi waliotoa maoni kwa njia ya wazi namitandao ya kijamii walilaani bunge hilo kugeuzwa kama mkutano wa CCM kwa muda wote wa uhai wake kutokana na ubabe na ukandamizaji wa Spika Anne Makinda na hivyo kupelekea kupitishwa hoja za kijinga kabisa kwa matakwa ya CCM tu.
Matokeo rasmi yalikuwa:
Limekidhi matarajio 0%
Halijakidhi matatajio 90%
Sijui 10%
Hayo ndiyo maoni ya Watanzania na inaonekana wananchi wanafuatilia kinachoendelea.