zitto ndie rais anauwezo wa kuunganisha vijana na si mkabila wala mkanda kama slaa na pia zitto si limbukeni wa mapenzi
Tuache kelele nyingi, kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini? Toa sababu kuu nne TU.
zitto ndie rais anauwezo wa kuunganisha vijana na si mkabila wala mkanda kama slaa na pia zitto si limbukeni wa mapenzi
DR.slaa ni mtu kama wengine na zito ni shujaa wa vijana TANZANIA.Mimi siwezi kutoa maoni.....kumuweka dr.slaa na zitto kishoka nadhani ni dharau sana......zitto hajafika hata robo ya dr.slaa kwa hiyo kura ya maoni ni dharau kwa kiongozi mwenye heshima km dr.slaa.....sijui labda zitto umshindanishe na shibuda ingefaa kwani hata kwa mnyika au lema haingii tuacheni dharau kwa rais wetu
Niliwahi kukueleza hapa JF kwa nini Babu yako alipigwa Ban na Mwalimu. Sasa kwako wewe Rais Kazi yake kuunganisha Vijana tu?Vijana wenyewe akili matope kama Mwigulu,Lusinde hata wewe mwenyewe kufikiri mwisho kuunganisha vijana tu?Hata Dr. Dr. Dhaifu mlisema Kijana atawasaidi Vijana sasa yako wapi?Tunataka Rais atakaye Wasaidia Watanzania na sio Rais wa Vijana Tu.Tatizo kubwa ninaliliona kwa sasa Vijana Wa Kitanzania Wamekuwa WABINAFSI sana kila kitu wanajiona na kujifikiria wao tu.Tazama Migomo ya Vyuo Vikuu kisa Bumu.Wakati Madaktari wanagoma,Waalimu badala ya wao Vijana Wehu kama wewe Tuntemeke na Zitto wako Kuwaunganisha Vijana waone namna ya kuisaida Jamii kwanza Wamelala fofofo.Vijana wa Kitanzania kwao Bumu kwanza Mengine ikiwepo kusoma Baadae.Shame on You & Co. Vijana wenye mawazo ya kibinafsi kama wewe.
Acha kumfananisha MESSI(Dr Slaa) na Mrisho Ngassa(Zito Kabwe).
Hii nidharau kubwa.Huwezi kupambanisha Barcelona FC na Lipuli ya Iringa.
zitto ndie rais anauwezo wa kuunganisha vijana na si mkabila wala mkanda kama slaa na pia zitto si limbukeni wa mapenzi
Hapana mkuu, ni sawa na kumfananisha nyangumi (DR. Slaa) na kiroboto (Kibaraka zitto) tena aliyekonda kwa kufyonza damu ya mtu mwenye kifaduro.
Mimi napendekeza hii poll ifungwe sasa maana naona kama vile haina uzito tena kwasababu Zitto mwenyewe kasema kuwa hakutaja ni mwaka gani anatarajia kugombea urais. Hii ina maana kuwa sio mwaka 2015.
zitto ndie rais anauwezo wa kuunganisha vijana na si mkabila wala mkanda kama slaa na pia zitto si limbukeni wa mapenzi
hilo gari unaweza pasua kaa mchezo mto Malagarasi mpaka Bangwe, Kazuramimba, kote hadi Madongo-kwinamahivi hummer na vogue kanunuaje?
Ni vizuri sasa wanachadema wamekugundua wewe ni mtu wa aina gani......