Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Hii thread haina lengo zuri, ina lengo la kupasua chama fulani cha siasa kwa maslahi fulani ya kisiasa, GOD forbid
namshauri ZITTO MDOGO WANGU AENDE AKATAFUTE KAZI HAJAWAHI KUPRACTISE KNOWLEDGE ALIYOPATA UDSM KAMA MTUMISHI WA SHIRIKA AU OFISI YOYOTE NI WAKATI WAKE AFANYE HIVYO ILI 2025 AWE AMEIVA KWA KUGOMBEA URAIS AKIWA MATURED AND FULLY KNOWLEDGEABLE. SARAKASI ZA BUNGENI INATOSHA AMESHAFIKIA CLIMAX SASA ATAANZA KUDROP DRASTICALLY
Hii thread haina lengo zuri, ina lengo la kupasua chama fulani cha siasa kwa maslahi fulani ya kisiasa, GOD forbid
Haraka yote hii ni ya nini? Bado tuna miaka miwili mbele yetu ili kufika wakati muafaka wa kuzungumzia wagombea uongozi katika nafasi mbalimbali. Hii kura ya maoni hapa haitusaidii chochote, sana sana itapalilia makundi ndani ya chama ambayo yanaweza kukivuruga chama na kuondosha mshikamano miongoni mwa wanachadema. Kama ninavyoshauri kila mara, wanachadema tuachane na hizi sarakasi za uraisi kwa sasa. Tujielekeze katika kujenga na kuimarisha chama ngazi za chini-misingi, matawi na kata kwakuwa huko bado hakuko stable. Rai yangu kwa wanachadema na wanaoiunga mkono chadema hapa JF naomba tuachane na mijadala isiyo na tija kwa maendeleo ya kisiasa na kidemokrasia. Tusipoteze muda kujadili mambo ya uraisi kwa sasa hakuna tija yoyote kwa mustakabali wa nchi yetu.[/QU
kama ungepewa mamlaka ya kumteua kati ya Zitto Zuberi Kabwe ama Wilbroad Peter Slaa kugombea nafasi ya urais mwaka 2015. Ni nani ungemteua? Na Kwa Nini?
Tuko kwenye mchakato wa mabadiliko ya katiba....so umri unaweza kubadilishwa tu, so hpja yako ingeenda kwenye utashi wake binafsi na uwezo wake.Ujana wake nayo ni sifa? kwani ukiwa mzee huwezi kuwa rais?
sababu za kuto mchagua Zitto Kabwe
1. hana sifa ya kugombea urais coz hajatimiza umri unaotakiwa na sheria
2. hana sifa ya kugombea coz ana uchu wa madaraka
3. hana sifa ya kugombea urais coz hana Busara na hekima
4. hana sifa ya kugombea coz anatumiwa na ccm
naskia zito kabwe ndo anamiliki hizo gari.Nani ana hummer na vogue