Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA?

  • Zitto Z. Kabwe

    Votes: 180 15.3%
  • Wilbrod P. Slaa

    Votes: 996 84.7%

  • Total voters
    1,176
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
TOBA!Slaa Ana Heshima Gani!Kama anadhubutu Kutelekeza Mke na Kuishi na Mwanamke wa Mtu(Mnyonge) ambae Hajapewa Talaka!Mtu ambae hawezi kulinda ndoa yake na ya mwenzake Hana Heshima!
Mteteeeni ila Ukweli Upo Palepale Heshima ya Slaa Siioni!
Ma kweli kumtawala MTZ kiakiali ni Rahisi sana!

Nadhani tunajadili UWEZO wa mtu kuongoza. Kwa hoja hii, Rais wa South Africa asingeongoza Nchi. Haya mambo ya alioa, aliolewa, Nadhani ni propaganda. Kama unakumbuka vizuri pale Arumeru mashariki yalianza, watu wenye busara zao wakaona ni propaganda. Eti kijana hajaoa, sasa Uongozi na kuoa/kuolewa ni mbali na wapi ? Jamani tunataka kiongozi anayejua matatizo yetu, yule ambaye kwake "NO" ina maanisha "NO", a leader who knows that we are far back and we need to move on faster, a leader who can differentiate a "kijiko" from a "koleo". Halafu tu ujue, HAKUNA mtu ambaye hajui uwezo wa Zitto katika kujenga hoja and all that, But SIYO kwa nafasi ya URAIS. na Ujue HAKUNA mtu anayemzuia Zitto kujaribu kuomba ridhaa ya wananchi ili kugombea Urais, isipokuwa watu wenye mapenzi mema wanashauri tu kuwa angeweza kutulia kidogo. kwani ukiwa na uwezo ni lazima uwe Rais ili kutumikia Taifa lako ? Huwezi kutumikia kwa nafasi nyingine ? NAPITA NJIA TU.
 
Hata hivyo kwa dhati ya moyo wangu ninampongeza sana Zitto kwa ushindani ambao hadi sasa ameutoa kwa Dk. Slaa. Asilimia zilizokwenda kwake zinasomeka 15 dhidi ya 84 za Dk. Hadi hatua hiyo, ninampongeza sana na kumsihi aendelee kuwatumikia wananchi wake kwa nafasi ya Ubunge. Afanye juhudi kubwa pia kujipambanua kama hana mahusiano ya mlango wa nyuma na CCM maana hisia za wengi zinaelekeza hivyo!
 
Hoja ya Chadema kwamba ni chama cha kidini sio ukweli kabisa , tena hii propaganda magamba wanaitumia sana kudhoofisha chama , ukweli ni kwamba chadema inapendwa na wananchi wengi wa dini mbalimbali na rika mbalimbali basi CCM na yenyewe ya waislamu, mimi pia muislamu ila naipenda chadema
 
Mimi siwezi kutoa maoni.....kumuweka dr.slaa na zitto kishoka nadhani ni dharau sana......zitto hajafika hata robo ya dr.slaa kwa hiyo kura ya maoni ni dharau kwa kiongozi mwenye heshima km dr.slaa.....sijui labda zitto umshindanishe na shibuda ingefaa kwani hata kwa mnyika au lema haingii

tuacheni dharau kwa rais wetu

ndugu unapojadili tumia busara na hoja yenye mashiko siyo kama ulivyonena. pia jifunzeni kutumia lugha ya hekima. wewe kama unaona slaa ni bora yatosha au km kuna mtu aona zita ni zaidi, pia swa kwani kila mtu anayo haki ya kupenda na anapopenda anazo sababu zake. binafsi kama ningeambiwa nichague, ningemchagua slaa lkn haimaanishi zito yuko chini kama unavyotaka kufanya watu waamini. kwa namna ulivyochangia napata hisia kuwa unaongozwa na hisia either za ujimbo au udini ambavyo wapenda amani tunakukemea ushindwe na ulegee. nawasihi viongozi wetu wa cdm muwe makini sana na mawazo yetu. msije mkaanza kuleta mgogoro ndani ya chama kwa watu wachache wanaotamani sn kuona cdm inameguka. zito ndg yangu simama imara na nakusihi ongeza juhudi ktk kukiimarisha chama chetu bana. tukitaja watu watano ktk cdm waliopelekea cdm izidi kuwa na mvuto km ilonao leo (huu ni mtizamo wangu kama raia tu wa kawaida) HAKIKA hatuwezi acha taja jina lako ZITO. binafsi nasema ZITO u still have a very wide chance to strengthen ur political carrier hivyo tulkia tu kwani unabebwa zaidi na umri ulionao. wape nguvu mzee SLAA atwae nchi twenty fifteen bana. pia nakubaliana na aspirations zako za kuja 1 day uwe rais wetu. c dhambi hata kidogo kutamani makubwa. mi leo natamani 1 day nije kuwa millionaire japo mpaka muda huu income yangu kwa mwezi ni kama laki moja tu hivi. LONG LIVE CDM
 
Naomba nimtetee Asa 79 , kweli hajatamka udini, kabila wala ujimbo, nadhani ametoa maoni yake tu. Tatizo ni approach tu, na kamwe watu wote hatuwezi kuwa na approach moja tunapotoa hoja au hisia zetu.
 
Mimi nafikiri Mh.Zito angefaa kuwa Rais kupitia CHADEMA kuliko Mh. Slaa kwa sababu kwanza Mh.Zitto ni mzalendo hebu fikiria mpaka anajaribu kuacha posho yake na kuipeleka jimboni kwake hii inathibitisha yeye ni mzalendo.Sababu nyingine pia Mh.Zitto anajitoa kikamilifu katika shughuli mbalimbali za kijamii,ksiasa na kiuchumi.Hata hivyo ni kjana mzalendo na mfano wa kuigwa Katika jamii kutokana na ujasili wake wa kutetea wanyonge hapa nchini.Mwisho Mh.Zito ni mwanasiasa ambaye hajawahi kutokea hapa nchini kwa sababu katika vipindi mbalimbali vya uchaguzi wananchi wa sehemu mbalimbali wamekuwa wakimuomba kwenda kugopmbea kwenye majimbop yao kutokana na wao kuwa na uaminifu mkubwa kwake,mfano kule Geita katika uchaguzi wa 2010.
 
Nimefurahishwa na kitu kimoja.Ukifuatilia kura hizi za maoni tangu mwanzo utaweza kupata picha ya Mashabiki wa CCM na wale wa CDM.Kura zilizopigwa ni kiashiria cha wazi kwamba CCM inaelekea kaburini.Ni wazi kwa Zitto na Dr.Slaa kura zimepigwa kwa mtazamo wa CCM Vs CDM.Hakika hii kura imetufumbua macho wengi.
 
subiri uone udini wa chadema watakavyomrukia ZITTO. wanajua zitto ni kichwa kupita hata huyo slaa lakini slaa wanampenda kwa kuwa ni PADRI.

Achana na Mambo ya Udini Garmaa Zitto hata ss tunamkubali
 
Wilibrod P. Slaa. SABABU Zitto hana msimamo ndani ya chama,Anauswahiba na mafisadi wakuu, Anauchu wa madaraka na Anatumikia sisiem kama Shibuda
 
Dr Wilbroad yes, zito ana uchu wa madaraka an he thnk he knows it all whl he knws vry little
 
Mtoa mada wewe ni kibaraka hivi kwa akili zako timamu unaweza kumfananisha mwalimu na mwanafunzi harafu wote wawe na uwezo sawa?
 
Zitto bado kupewa uraisi inatakiwa Chadema wachukue nchi Dr slaa awe rais zitto apewe uwaziri miaka 10 harafu ndo aje aombe kugombea kiti cha urais na si vinginevyo
 
Kama vile shibuda.....!?

Udini hapa unatoka wapi? We umeambiwa toa sababu za msingi. Mjue atakayekuwa Rais anafahamu fika kuwa serikali haina Dini. Kwanza didi ni nini hasa Acheni hizo. Semeni Imani maana kuna watum wanaamini mkwa jiwe na ng'ombe au mbuzi wao wasemeje hapo manavoleta mambo ya..... hapa
 
Hafai kuwa kiongozi wa juu kwa sababu kuna vitu anajua lakini haweki hadharani mpaka alivyoambiwa amehongwa sasa kiongozi gani huyo. Wabunge na viongozi wengine wana data nyingi sana lakini hawaweki wazi mpaka wachokonolewe kwenye issue za ufisadi, ona wanavyoshindwa kushugulikia issue ya RADA. Au na Rais naye yumo kwa kuwa alikuwa waziri wa mambo ya nje kipindi kile??? Tuelezane jamani tunakwenda wapi Ahhh
 
Slaa is still the best,kwanza kujenga na kuimarisha chama.hiyo ni credit tosha kwake kama katibu mkuu.ni mtu makini sana
 
Katika katiba ya sasa nadhani hata ijayo haitaruhusu mwenye umri kama wa Zito kugommbea,, inataka watu wanaojua mambo mengi.Kwa sababu ZITO ni kijana mdogo,,, ambaye hatujawa na uhakika saana na uwezo wake kisiasa na isitoshe tunaoitakia mema CDM tumeshaona ana hali inayomyakinisha kama kibaraka wa MAFISID na anashindwa kuitetea CDM katika nyakati Ngumu...AKAE MUDA NDO UTAKAOTUAMBIA...TUMUACHIE DR SLAA MAANA HATA UCHAGUZI ULIOPITA WA 2010 ALISHINDA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom