Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

Ni nani ungependa agombee urais mwaka 2015 kwa tiketi ya CCM?

  • Bernard Membe

    Votes: 70 15.3%
  • Edward Lowassa

    Votes: 189 41.4%
  • None of them (Labda mwingine)

    Votes: 198 43.3%

  • Total voters
    457
  • Poll closed .
Naona kijana akilinyako ni mgando sana, umejaza makaratasi kuraza nzima na zaidi huna la maana humo ndani:majani7::majani7:
 
Edward Lowassa for a desired Tanzania.

Siku utakapouzwa na kuporwa hata vya nyumbani kwako ndo utajua kuwa Lowasa ni mwizi na mbinafsi. Hata Nyerere alimkataa huyu mwizi, mzee wa majenereta yanayokula bilioni 112 za nchi kila mwezi.
 
tumchague john pombe magufuli mchapakazi tutapata maendeleo

lowasa ni fisadi mkuu, ana kashfa nyingi zinazomzunguka, huyu jamaa hafai kabisa kuwa kiongoz wa nchi. Kwa upande wa membe mi sijasikia kashfa yoyote toka kwake na pia simjui kiundani zaidi, huyu angalau ana nafuu kidogo.
 
Kwangu mimi Lowasa ni Jembe kwani ni mchapa kazi na Tanzania tunahitaji raisi mchapa kazi si mtu umdhaniaye ni msafi kumbe ni fisadi wa kifichoni na ni goigoi. All votes to Lowasa wakuu
 
Wadau nawakilisha hili suala ili kupata kura za maoni za viongozi hawa ndani ya chama cha CCM.

Toa hoja na mawazo yako na upige kura pia kuona nani anafaa kati ya wawili. Zingatieni kuwa hatushindanishi na viongozi wengine ambao kila mmoja amekumbatia moyoni kuwa anafaa. Haijalishi wewe ni Chadema au CCM inachojalisha ni unaona yupi bora kati ya hawa wawili. Kuwa hata kama wote ni devils who is the lesser devil kati ya wawili?

Ni yupi unaona atafaa ama niseme nani angalau anatia matumaini kuwa walau anafaa kuteuliwa kuweza kuongea nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM kwa mwaka 2015?

Ni vema ukimataja utowe walau sababu zako ambazo unaona ni msingi wa maamuzi yako. Wadau hasira na pumba naomba ziachwe nje ya hii thread na tuweze kupata jibu thabiti.

Nawasilisha.


lowasa ni kiongozi jamani;hebu watanzania tujiulze;nani hajuti sasa hivi kwa bahati mbaya tuliyoipata 2005 ya kupata kiongozi kama kiwete!mimi sielewi au najiuliza kila siku rostam na lowasa waliona nini kwa kiwete mpaka kukubali kumpigania kwa nguvu zao kuingia ikulu..naamin watajuta kwa maisha yao yote kwa kosa walilolifanya kushindwa kuona udaifu usiomithilika wa huyu bwana kiwete;wasiojuta ktk utawala wake ni ndg zake na vimada wake aliowajaza kila mahali ktk safu mbalimbali za uongozi;na pia tusiache kujiuliza ktk miaka 10 aliyokuwa waziri wa mambo ya nje lipi aliwafanyia watanzani kiasi cha kuona nafaa kuliongoza taifa letu...lowasa amefanya mengi ya kuonekana na kuonesha ujasiri wa hali ya juu ktk kufuatili kusimamia na kuonyesha uthubutu wa kufanya mambo kama kiongozi;tangu ametoka madarakani 2008 nini kinaendelea ktk serikali ya jk?nani anaweza kuthubutu kulinganisha lowasa na nyoka wa kibisa pinda??

Membe wengi wetu tumemjua baada ya jk juingia madarakani,kabla ya hapo mimi binafsi sijawahi kabisa kusikia jina la membe;ni kipi watu wanachokiona kwake mpaka kuthubutu kuwaza eti kumpendekeza kugombea urais??yaani nchi ikumbwe na mabalaa miaka 20 mfululizo,manake miaka 10 ya jk ni wazi tumekumbwa na balaa,sasa tumpe membe tena??bora kuingia vitani...lowasa ndio rais 2015.
 
Lowasa anafaa sana kuwa mgombea kiti cha urais 2015, kwa kuwa ni mchapa kazi na siyo mwanasiasa na hizo tuhuma zote zimekaa kisiasa na alikuwa na uwezo wa kutoachia ngazi pengine hata leo angekuwa waziri mkuu, alionyesha hasira za kimasai tuu, lakini haikuwa kivile na tafsri pana ambayo watu wamejijengea kwenye akili zao, huyo Membe hafai kabisa hana mfano wowote wa kimaendeleo:majani7:
 
Lowassa is a very strict leader ,commanding ,prompt,thought full,though i have another feeling about his line of friends the *********s.can he really be serious about our natural resources ,can he really be serious about poverty people/country.okay im gonna have to give him a trial
 
halafu haka kamsemo siku hizi wafuasi wa EL wanapenda sana kukatumia...
mti wenye matunda
ndio hurushiwa mawe mengi. mzizi wa ufisadi katulia nyie mnakomaa na
matawi
 
Moderators jana ilianza kupigwa kura ya maoni nani tungependa awe rais kati ya Lowassa vs Dr Slaa.mbona mmeiondoa
 
Back
Top Bottom