Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,125
Viongozi mafisadi na wasiofaa kama Lowassa na wadanganyika is a perfect marriage..fireworks
Lowasa anafaaa tena sana,,,membe mnafiki sana jamani
Hesabu kwamba kura yangu
imeharibika,ila kama katikati ya hao wawili kuna KIVULI basi mimi
nakichagua kivuli.
Lowasa ni fisadi mkuu, ana kashfa nyingi zinazomzunguka, huyu jamaa hafai kabisa kuwa kiongoz wa nchi. kwa upande wa Membe mi sijasikia kashfa yoyote toka kwake na pia simjui kiundani zaidi, huyu angalau ana nafuu kidogo.
bora EL