FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Nimeangalia kura hizo naona kumbe watu bado mnampenda Lowassa
Jibu hapo ni "None of them"
Jibu hapo ni "None of them"
Zitaje na uweke ushahidi hapa dhaifu wee!Lowasa ni fisadi mkuu, ana kashfa nyingi zinazomzunguka, huyu jamaa hafai kabisa kuwa kiongoz wa nchi. kwa upande wa Membe mi sijasikia kashfa yoyote toka kwake na pia simjui kiundani zaidi, huyu angalau ana nafuu kidogo.
Wadau nawakilisha hili suala ili kupata kura za maoni za viongozi hawa ndani ya chama cha CCM.
Toa hoja na mawazo yako na upige kura pia kuona nani anafaa kati ya wawili. Zingatieni kuwa hatushindanishi na viongozi wengine ambao kila mmoja amekumbatia moyoni kuwa anafaa. Haijalishi wewe ni Chadema au CCM inachojalisha ni unaona yupi bora kati ya hawa wawili. Kuwa hata kama wote ni devils who is the lesser devil kati ya wawili?
Ni yupi unaona atafaa ama niseme nani angalau anatia matumaini kuwa walau anafaa kuteuliwa kuweza kuongea nafasi ya Urais kwa tiketi ya CCM kwa mwaka 2015?
Ni vema ukimataja utowe walau sababu zako ambazo unaona ni msingi wa maamuzi yako. Wadau hasira na pumba naomba ziachwe nje ya hii thread na tuweze kupata jibu thabiti.
Nawasilisha.
Kwa nini haw wawili? kwani ccm hakuna wanaotufaa kwa urais jamani? kila siku EL, EL, EL what so special in him guys?
Kura za kinafki! Kura za maoni wapige CCM sio watu wengine! CHADEMA wanajua kuwa akigombea MEMBE hawapati, lazima wajifanye kumshabikia MAMVI! Wanajua Mamvi akisimama watapeta tu! Kama na we uliyeleta post umepewa hela na Mamvi, ukome! Kwa nini ulete ya watu wawili tu, kuna aliyetanga kati ya hao anataka uraisi?
ungelijua kuwa huyo unayemwita Mamvi simjui naye hanijui pia na wala si mfaasi wa chama chake,usingesema hivyo.
mkuu hapo penye red.Huwezi ukapata changes bila ushindani.Sijaona mtu,,,wote wanatumwa na chama wala si mapenzi yao kuwaongoza watz,,mod emu ondoa uzi huu,,we need changes,,YES we can!!!!!
Joka la mdimu tu lile he is another dhaifu in disguise hatutak prezdaa mpiga domo tunataka mtendaji ths tmy