Kupotea bila kujijua

Kupotea bila kujijua

Kunradhi, nia ya akili hii isiyo sawa ilikuwa kumtakia mema mzazi wako na kama kuna namna ya kumuagua mapema kabla pengine matatizo makubwa zaidi hayajamfika, itafutwe.

Lakini naona tunatoka dunia mbili tofauti.

Akili yangu haiko sawa katika dunia yako mkuu.

Kila la heri kwako wewe na familia yako.

Kwa heshima na taadhima.
Wewe ndo unatakiwa ukapimwe akili
 
Mi nilishawahi kupoteza baiskeli porini sikuiona kwa miaka minne mwaka wa tano nilikuja kuiona palepale haikuguswa wala kusogezwa mpk Leo siamini niliota au lakini ndio ukweli
mkuu em kaa chini tueleze ,maana ni zaidi ya maajabu
 
Wewe ndo unatakiwa ukapimwe akili
Sawa ndugu yangu, nitapimwa akili, na nishakuomba radhi, nisamehe kwa makosa yangu.

Usiendelee kunitusi zaidi.

Nisamehe nimekosea akili zangu haziko sawa.

Nimekukosea sana kwa habari hii.
 
Kugundua maana yake nini kama ulivyotumia neno hilo hapa?
Nakuuliza tena mkuu
Tangu umeenda shuleni kwenu ukajifunza sayansi ,law of flotation etc
umegundua nini na wewe mpaka leo hii? umegundua law of What?
 
Kama ni ule mto Mhesi km kadhaa ukitoka tunduru basi nami naufahamu japo si mwenyeji wa huko
Mto huo wenyeji wanasema unatabia ya kuua mtu kila mwaka na kweli mmoja kati ya watu tuliokuwa kule tulikuwa tunautumia kuoga mana maji yalikuwa ni shida(ilikuwa kiangazi)mwenzetu mmoja akachotwa kiajabu na tukaja kumpata baada ya siku tatu,ikabidi na utafiti wetu tusitishe kabisa
Mwaka huu wameenda wengine tena
Labda ndio huo
dunia ina mambo
 
Unadhani wewe ndie mwenye kufikiri na kuwaza zaidi ya wanajamii wengi kutoka maeneo tofauti ya nchi hii?!

Ama wewe ndo mnadadavuaji kwa mifano ya vitabu na nadharia za kusadikika kutoka kwa maandiko ya watu kama wewe?!

Wale waliokulia katikati ya milio ya bundi na ndege kwijo ndio wanaeza kukupa mifano ya matukio ya aina hiyo mana njia nyingi zitumikazo huko vijijini ni nyembamba na si ajabu kukuta majani yamejiotea.

Kama umewahi kujikunguta umande ahsubuhi ama wakati wa mvua kuisha huwezi kosa majani aina ya (Kisokoro)yakiwa yametanda njiani kwa kusambaa chini.

Kuna mengi yapo huko vijijini kuliko ngano chache zilizofika mjini

Nachelea kusema utaona uzushi ikiwa tu hata mbuzi hujawahi kwenda mfunga kwenye majani,namaanisha kama hujawahi kuishi maisha yale ya ndani ya zi le jamii ambazo Radio tu ipo kwa mwenyekiti,sio hivi vijiji vilivyojaa taa za umeme.

zitto junior ,hearly, Da'Vinci
sasa hapo kiranga yeye anachobisha ni kipi"?wakati "usikute hajawahi kukaa. ileje ",chunya" kyela" mvuha ", kwa muda hata wa week 1
 
Mi nilishawahi kupoteza baiskeli porini sikuiona kwa miaka minne mwaka wa tano nilikuja kuiona palepale haikuguswa wala kusogezwa mpk Leo siamini niliota au lakini ndio ukweli
Basi uliipaki baiskeli kwenye mzizi wa hayo majani...
 
Kama ni ule mto Mhesi km kadhaa ukitoka tunduru basi nami naufahamu japo si mwenyeji wa huko
Mto huo wenyeji wanasema unatabia ya kuua mtu kila mwaka na kweli mmoja kati ya watu tuliokuwa kule tulikuwa tunautumia kuoga mana maji yalikuwa ni shida(ilikuwa kiangazi)mwenzetu mmoja akachotwa kiajabu na tukaja kumpata baada ya siku tatu,ikabidi na utafiti wetu tusitishe kabisa
Mwaka huu wameenda wengine tena
aisee poleni sana wakuu
 
Nakuuliza tena mkuu
Tangu umeenda shuleni kwenu ukajifunza sayansi ,law of flotation etc
umegundua nini na wewe mpaka leo hii? umegundua law of What?
Mbona unarudia swali wakati mimi nimekujibu kwa kukuuliza kugundua maana yake ni ninikatika muktadha unaouongelea wewe hapa?

Kabla ya kujibu nimegundua nini -majibu yako mengi sana kuanzia sijagundua kitu na nimegundua maelfu ya vitu- ni vyema wewe ukanieleza maana ya "kugundua" kama unavyokusema hapa ni nini?

Inawezekana kwenu rangi ambayo mimi naiita bluu mnaiita nyekundu na rangi ninayoiita nyekundu kwenu mnaiita bluu.

Ukinionesha shati la rangi nyekundu, halafu ukaniuliza hili shati ni la rangi gani, natakiwa kukujibu vipi?
 
Hili suala la kupotea unapopafahamu sio jipya baba yangu limemtokea mwaka juzi alipokua anarudi nyumbani saa 2 usiku alijikuta haelewi anakokwenda aliishia kuzunguka mtaa tangu saa 2 usiku hadi saa 4 usiku bahati nzuri kuna jirani alipishana naye mara 3 hiyo ya mwisho alishindwa alimuuliza anatafuta nini alimjibu anaenda nyumbani akamuambia mbona nyumbani kwako pale na fahamu zikamrejea ila kikwetu wanasema ni mdudu sio majani ingawa haswa matatizo haya yanatokea kipindi cha masika
Namimi mwenyew nilikuwaga najua hivyo hivyo kwamba nimdudu ", nilikuwaga nazisikia hayo masimulizi zamani " nilipokuwa mdogo
 
Basi bwana tulienda na demu Wangu porini kunyengana si tukalalia hayo majani tukasahau kuacha tukawa tunanyengana tu.. Mkitembea kidogo myengo kidogo myengo mpaka nguvu zikaisha tukalala porini
hahaaa wasalimie ileje
 
Baba yako ana umri gani?

Mara ya mwisho kufanyiwa check up iliyojumuisha tests za cognitive ability ni lini na zilitoa matokeo gani (kama alifanya).
hahaaa kiranga" bwana " Umeanza
 
hahaaa kiranga" bwana " Umeanza
Hapana, wewe unaona nilipoanza, kumbe nishamaliza mwenzako.

Na msamaha nimeomba tayari.

Habari za Baba yake mtu si ndogo kwa maadili ya Adili wa Shaaban Robert niliyoamua kuyaamkua leo.
 
Mi nilishawahi kupoteza baiskeli porini sikuiona kwa miaka minne mwaka wa tano nilikuja kuiona palepale haikuguswa wala kusogezwa mpk Leo siamini niliota au lakini ndio ukweli
aisee " serious mkuu "?
 
Hapana, wewe unaona nilipoanza, kumbe nishamaliza mwenzako.

Na msamaha nimeomba tayari.

Habari za Baba yake mtu si ndogo kwa maadili ya Adili wa Shaaban Robert niliyoamua kuyaamkua leo.
sawa " nimeonA " Wakati natoa ile statement sikuwa nimefikia hizi pages za mwisho "" though kuna watu wengine huwa hawaelewi maana ya challenge so msamehe bure
 
Mbona unarudia swali wakati mimi nimekujibu kwa kukuuliza kugundua maana yake ni ninikatika muktadha unaouongelea wewe hapa?

Kabla ya kujibu nimegundua nini -majibu yako mengi sana kuanzia sijagundua kitu na nimegundua maelfu ya vitu- ni vyema wewe ukanieleza maana ya "kugundua" kama unavyokusema hapa ni nini?

Inawezekana kwenu rangi ambayo mimi naiita bluu mnaiita nyekundu na rangi ninayoiita nyekundu kwenu mnaiita bluu.

Ukinionesha shati la rangi nyekundu, halafu ukaniuliza hili shati ni la rangi gani, natakiwa kukujibu vipi?
Mkuu umegundua nini?
 
sawa " nimeonA " Wakati natoa ile statement sikuwa nimefikia hizi pages za mwisho "" though kuna watu wengine huwa hawaelewi maana ya challenge so msamehe bure
Hapana kaka, usiniharibie.

Yeye ndiye anisamehe mimi.

Leo natembea katika uadilifu na kujadili afya za wazazi wa wengine kama wenyewe hawataki si uadilifu.

Ni hivyo tu.Nimejadili kwa kiasi nikaona naleta inda kwa mwenzangu, nikaomba msamaha.
 
mkuu em kaa chini tueleze ,maana ni zaidi ya maajabu
Tulienda kwenye mapori Fulani mwaka 1998 kule morogoro kugawana mashamba tulime Mimi nilikuwa na baiskeli sasa sikutaka kutembea nayo porini itanichosha tukaipaki mahali amin usiamini baada ya zoezi LA kugawa mipaka kuisha tukaanza kuenda kuichukua ile bike hatukuiona na unajua porini vichaka vinafanana tuliitafuta ile bike bila mafanikio kesho yake tukarudi wapi nika declare imeibiwa

Ajabu

Baada ya miaka mitano kupita mwaka 2002 nikaenda pale kwenye lile shamba maana hatukulima seriKali ilitukataza kwamba ni hifadhi cha ajabu nilipofika pale nikaikuta ile baiskeli vile vile nilivyoiacha mwaka 1997 na nyuma nilikuwa nimefunga dumu LA maji nikayakuta vile vile haikuguswa kabisa ila ailikuwa na kutu kwasababu ya mvua kwakweli niliogopa sana sana sana nusura nizimie na mbaya zaidi nilikuwa peke yangu sikuichukua nikaenda kuwaita wale jamaa niliokuwa nao bahati mbaya wawili walikuwa wamefariki hili tukio nikikumbuka mpk leo naogopa mwili unasisimka
 
aisee " serious mkuu "?
Sio fiction ni tukio LA kweli kabisa na Yale maji tuliyakuta vile vile kwenye dumu ndio kilichonithibitishia ni baiskeli yangu niliyoipoteza mwaka 1997
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom