Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,122
Kama ni ule mto Mhesi km kadhaa ukitoka tunduru basi nami naufahamu japo si mwenyeji wa hukohata mama namuuliza hapa anasema kipindi cha masika. na mvua iliwanyeshea masaa ma5 ,walitembea mpaka mto fulani watu Masasi wanaujua unaitwa Myesi
Mto huo wenyeji wanasema unatabia ya kuua mtu kila mwaka na kweli mmoja kati ya watu tuliokuwa kule tulikuwa tunautumia kuoga mana maji yalikuwa ni shida(ilikuwa kiangazi)mwenzetu mmoja akachotwa kiajabu na tukaja kumpata baada ya siku tatu,ikabidi na utafiti wetu tusitishe kabisa
Mwaka huu wameenda wengine tena