Kupitia Sabaya, mmeiona picha ya Hayati Dkt. Magufuli tuliyemlalamikia?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,778
Tunaendelea.....

Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu.

Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo. Tukasema aliyekuwa Rais wa Tz John Pombe anaumiza watu na hazingatii haki za binadamu. Hatukusikilizwa!

Lakini leo hii mambo yapo hadharani,vijana wanasema walitumwa na ngazi za juu.

Fikiria DC anaweza kutenda unyama wa kiwango hiki na mamlaka ya uteuzi ikakaa kimya tu. Unafikiri haikujua? Unafikiri hakupewa taarifa na vyombo vya usalama? DC anavamia watu na kupora mali waziwazi mkuu wa nchi yupo!

Fikiria huyo ni mteule tu, sasa mteuaji alikuwaje?

Kwa hiyo ndugu zangu mmepata picha kamili na rangi halisi ya JPM tukiyemlalamikia. Kila kitu kimekuwa hadharani kwamba Nchi iliendeshwa kwa mkono wa chuma.
 
Ngazi ya juu ndo ikutume ukaibe milioni tatu kweli..🤣

Ngazi ya juu ipi hiyo ndugu yangu? Maana Kama ni ngazi ile kuu ilivyo na mamlaka hata ikitaka rushwa basi inakuwa yamotomoto fulani hivi.

But anyway huu ni muda wa kila mtu kuzungumza lake lakini huu upungufu unaojitokeza ni kwasababu hatuna vyombo na mifumo imara so twendeleeni kupiga soga bila kusolve tatizo.😀
 
Je, wale waliovamia vituo wa TV na AK47 mtasemaje?!!! na bado wakaendelea na kazi bila kiongozi yeyote kushtuka isipokuwa mtoto wetu Nape Moses Nnauye?!
 
Mungu kamwinua tena,sijui yule jamaa aliyemshikia bastola anajisikiaje!
 
Tunaendelea.....

Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu.

Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo. Tukasema aliyekuwa Rais wa Tz John Pombe anaumiza watu na hazingatii haki za binadamu. Hatukusikilizwa!

Lakini leo hii mambo yapo hadharani,vijana wanasema walitumwa na ngazi za juu.

Fikiria DC anaweza kutenda unyama wa kiwango hiki na mamlaka ya uteuzi ikakaa kimya tu. Unafikiri haikujua? Unafikiri hakupewa taarifa na vyombo vya usalama? DC anavamia watu na kupora mali waziwazi mkuu wa nchi yupo!

Fikiria huyo ni mteule tu, sasa mteuaji alikuwaje?

Kwa hiyo ndugu zangu mmepata picha kamili na rangi halisi ya JPM tukiyemlalamikia. Kila kitu kimekuwa hadharani kwamba Nchi iliendeshwa kwa mkono wa chuma.
Magufuli alikuwa katili
 
Swali ni DC mmoja tu aliyetumwa toka ngazi za juu wengine walipewa maelekezo toka ngazi ipi? Ukichaa wa Sabaya is not justifiable to conclude JPM era. Hata hizi tuhuma za kumfikisha Sabaya mahakamani hazikuanzia kwa mama Samia zilianza toka wakati ule Majaliwa na Mpango wameaagizwa na Magufuli kwenda Hai kuujua ukweli. So ilikuwa ni swala la muda tu.
 
Tunaendelea.....

Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu.

Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo. Tukasema aliyekuwa Rais wa Tz John Pombe anaumiza watu na hazingatii haki za binadamu. Hatukusikilizwa!

Lakini leo hii mambo yapo hadharani,vijana wanasema walitumwa na ngazi za juu.

Fikiria DC anaweza kutenda unyama wa kiwango hiki na mamlaka ya uteuzi ikakaa kimya tu. Unafikiri haikujua? Unafikiri hakupewa taarifa na vyombo vya usalama? DC anavamia watu na kupora mali waziwazi mkuu wa nchi yupo!

Fikiria huyo ni mteule tu, sasa mteuaji alikuwaje?

Kwa hiyo ndugu zangu mmepata picha kamili na rangi halisi ya JPM tukiyemlalamikia. Kila kitu kimekuwa hadharani kwamba Nchi iliendeshwa kwa mkono wa chuma.
Huhu mkono wa chuma tulimuwa tunauomba enzi za kikwete na bado mm binafsi naomba atokee rais awe chuma xha reli zaidi ya magufuli lakini asiwe na hulka zile awe toufauti na yale mapungufu yaliyokuwepo awamu ya yule wa 5 . Better yet,I agree with you.
 
Tunaendelea.....

Katika awamu ya 5 mambo mengi ya hovyo yalifichwa kupitia propaganda mfu za uzalendo. Watu wengi waliumizwa na kudhulumiwa. Kesi za uongo na kubambikiza zilikuwa za kufikia tu.

Tuliopewa macho ya kuona haya na wapenda haki tulipiga kelele ikaonekana tunakosa uzalendo. Tukasema aliyekuwa Rais wa Tz John Pombe anaumiza watu na hazingatii haki za binadamu. Hatukusikilizwa!

Lakini leo hii mambo yapo hadharani,vijana wanasema walitumwa na ngazi za juu.

Fikiria DC anaweza kutenda unyama wa kiwango hiki na mamlaka ya uteuzi ikakaa kimya tu. Unafikiri haikujua? Unafikiri hakupewa taarifa na vyombo vya usalama? DC anavamia watu na kupora mali waziwazi mkuu wa nchi yupo!

Fikiria huyo ni mteule tu, sasa mteuaji alikuwaje?

Kwa hiyo ndugu zangu mmepata picha kamili na rangi halisi ya JPM tukiyemlalamikia. Kila kitu kimekuwa hadharani kwamba Nchi iliendeshwa kwa mkono wa chuma.
Aiseeee !!
 
Yule Mtu aliua,alipora, aliteka, alitesa, alibaka,alifira wanaume Huku akiwarekodi kupitia vijana wapumbavu kama Sabaya na Makonda na magenge yao .

Wanaomuona yule mwehu hero hawana uwezo wa kuona na kusoma Mtu!
 
Back
Top Bottom