Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,823
Hapa kwa hii kauli tu inaonyesha uwezo wako wa kufikiri hata mi mtoto wa kike nakuzidimwanamke kiumbe dhaifu wewe wasifie hivyo hivyo utakuja shangaaa

Hapa kwa hii kauli tu inaonyesha uwezo wako wa kufikiri hata mi mtoto wa kike nakuzidimwanamke kiumbe dhaifu wewe wasifie hivyo hivyo utakuja shangaaa

Can you justify this please??!! With critical examples!!mwanamke kiumbe dhaifu wewe wasifie hivyo hivyo utakuja shangaaa

Mmmh pole yakeBahati mbaya huyu hana Mama
Kuna wanawake wana tabia za kiume alafu kuna wanaume wana tabia za kike hayo ni matizo tu yakiufundiMazee acheni fallacy generalization basi.
Kuna wanaume wenye sifa uliyotaja. Kuna wanawake ma -CEO na kampuni zinafanya vizuri.
Hivi nyie mnachukua wanawake wa wawapi mnajilinganisha nao? Tunaposema mwanamke ni dhaifu kumzidi mwanamme logically tunakichukua kiumbe chochote cha kike tunakilinganisha na kiumbe chchote cha kiume kwa sifa tajwa.
sio kosa lakoHapa kwa hii kauli tu inaonyesha uwezo wako wa kufikiri hata mi mtoto wa kike nakuzidi![]()
HAMNA KAZI ZA KUFANYA ?
Mkuu uwezo upi labda unazungumzia?yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kitu
kufikiri nk they are not strongMkuu uwezo upi labda unazungumzia?
Hahaah bora ungekachapa mkwaju kuliko kukapa majukumu ya kufuaMwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
Baelezeee baeleweeeHaya subiri siku Malkia Elizabeth awe dhaifu kwako.
Halafu sina muda wa kumsifia mtu mimi nakuelekeza uachane na mawazo yako.
Alikuwepo Samson kiboko yake ilikua ni Delilah....endelea kuona mwanamke ni dhaifumwanamke ni kama mtoto,huyo malkia mwenyew ni dhaifu hana lolote cheo ndio kinampa jina kubwa,lakin ukiishi na mwanamke kama ni kiumbe mwenye nguvu atakushinda mwanamke yeye ni mtoto miaka yote hakupewa nguvu hata tangu uumbaji,ndio maana hawa alitongozwa na shetan nyoka akashawishika.
Mwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.
Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni Gender rules.
Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi
Utasema huyu ni dhaifu?
Mkuu agizaa nakuja lipiaaa... Naombaa tuu kwa leoo nilipie hehehtofauti za kijinsia kati ya mwanamke na mwanamme sio udhaifu.
Tatizo mnashindwa kuniambia udhaifu wa mwanamke upo kwenye nini.
Udhaifu wa mwanamke upo kwenye nini ??
yaani nimempenda ghafla !nadhani ni vyema na sie wazaz tunapaswa kuwaencourage watoto weut hasa wakike kama huyu Thelonious !mtoto ukimpa maneno positive lazima awe vizuri ! sio umsemee mabaya tu lazima atakuwa na phobia !Mkuu agizaa nakuja lipiaaa... Naombaa tuu kwa leoo nilipie heheh
kwa hiyo Mungu aliyesema mke ni dhaifu alikosea,chunga kauli zakoMwanamme mwenye mawazo haya namuona hajastaarabika kwangu.
Wanawake wapo hadi mimi walionizidi na hata wewe najua wapo waliokuzidi kila kitu isipokuwa tofauti za kibailojia hizi hazikufanyi umzidi maana ni Gender rules.
Sasa kama mwanamke.
-anakuzidi pesa/uchumi
-anakuzidi uwezo kupambanua mambo
-Elimu
-ushawishi
-power/maamuzi
Utasema huyu ni dhaifu?
Sincerely my father is typical Thelonious... Grew up najua men and women tuko tofauti lakini haimaanishi mwanamke ni kilaza infact mwanamke unaweza kufanya mengi mnooyaani nimempenda ghafla !nadhani ni vyema na sie wazaz tunapaswa kuwaencourage watoto weut hasa wakike kama huyu Thelonious !mtoto ukimpa maneno positive lazima awe vizuri ! sio umsemee mabaya tu lazima atakuwa na phobia !
yaani nimempenda ghafla !nadhani ni vyema na sie wazaz tunapaswa kuwaencourage watoto weut hasa wakike kama huyu Thelonious !mtoto ukimpa maneno positive lazima awe vizuri ! sio umsemee mabaya tu lazima atakuwa na phobia !
Tofautisha nafasi ya mke na mwanamke.... Akiwa mkeo sawa wewe ni kichwa kwake...kwa hiyo Mungu aliyesema mke ni dhaifu alikosea,chunga kauli zako