Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kupima Reasoning ya Mwanamke

Hivi wale wanaume wanaohama vyama na kumuunga mkulu mkono huku nyuma wakiwaacha wanawake ngangali nyuma tunawasemaje?
Huyo hajielewi wabunge wangapi wanahama na madiwani tena karibia wote wanaume au wanajinsi ya kike wanajificha kwa kuvaa suluali?
 
Kama thinking capacity yako ndio poor namna hii, sidhani kama unaweza kupata mwanamke amabae anauwezo mkubwa kufikiri na kupambanua, utapata level yako na utaendelea kuamini hivyo hivyo
Ndege wafananao huruka pamoja atanibeba kama mimi si nitambwakigia mto msimbazi? Halafu unaweza ukute yy mwenyewe kalelewa na mama baba yake alikuwa anahangaika na michepuko huko mpka mpaka kufika hapo dada zake ndiyo wamemsaidia sahizi anawadharau mke atapata wakufanana naye.
 
Wewe inaonekana udhaifu unaousema kwao ni kwny masuala ya mapenzi na inawezekana ushatendwa sn na hao viumbe.

Kiukweli udhaifu wa wanawake ni ile hali yao ya kuwa wake lkn wapo ambao wapo smart kichwan kuliko unavyodhani pia wanaume wapo ambao wameoza kichwan kuliko wanawake.
Itakuwa alivamia sehemu isiyo kuwa saizi yake yakamkuta ndiyo kaja kupunguza machungu humu jf
 
Vipi unataka kunitafutia mke? Au una dada ambao hawajaolewa?
Hapana Kwa Maana Namna ulivyokazana ikabidi Nijiulize Maana Kama ni Mwanamke Naanza Kupata Majibu ya Akili za Wanawake....ila Kama ni Mwanaume badilika Utaolewa!
 
Back
Top Bottom