FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Kwa muktadha upi basiMwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke. Mengine mbwembwe tu mnapoteza muda.
Kwa muktadha upi basiMwanaume atabaki kuwa mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke. Mengine mbwembwe tu mnapoteza muda.
Imenitokea hii mpaka nowKuna dada mmoja namchukia hadi leo,siku ya kwanza kukutana nae dakika chache za mwanzo kabisa aligundua udhaifu wangu mkubwa ambao huwa sipendi mtu yeyote aujue!!......For the past thirty years hakuna mtu yeyote ambae anaujua huo udhaifu ila yeye aliugundua kwa mda mfupi sana!!.....Wanawake wamepewa ugenious wa asili!
Sio lazima umzidi asilimia mia ila vitu vingi utakua unamzid ila machache ndo utakua unaenda wrong nayeye atakua anakusahihisha.... Kwaio upo wakati kweli anakua ye ndo kaongea jambo la msingi nawewe unakua totally wrong lkn ukichukua average unakua umemzidi kwa asilimia flan hiyo ndo nature yakeHahaha kwa hiyo wanaume wote duniani wanawazidi wanawake kupambanua mambo yote?
Duuh, haya.
Kwa hiyo wanawake hawawezi kulogic? Haha you can't prove it definitively.Asante, Tunasema Wanawake ni Dhaifu kwa sababu hawawezi Kumanage Logic na Emotions kwa wakati Mmoja...mwanamke hatumuamini katika baadhi ya maamuzi kwa sababu ya yeye kuwa na uwezekano mkubwa w kutumia hisia kuliko logic na huo ni udhaifu tofauti na sisi wanaume tunaotumia Logic zaidi
Sio lazima umzidi asilimia mia ila vitu vingi utakua unamzid ila machache ndo utakua unaenda wrong nayeye atakua anakusahihisha.... Kwaio upo wakati kweli anakua ye ndo kaongea jambo la msingi nawewe unakua totally wrong lkn ukichukua average unakua umemzidi kwa asilimia flan hiyo ndo nature yake
Average ya IQ ni ngapi....tuanzie HapaIts called lanes young man.Huwezi pima kitu usichokielewa.
Its clear IQ yako ni below average na unataka ujifanye above average sasa unataka maswali ya kwenda kumuuliza mwanamke. You will look stupid.
Wanawake tunatofautiana. Huwezi kwenda na hiyo questionnaire unayoiomba huku uitumie kumu approach kila mwanamke.
Stick to your lane, kama ujuaji wako ni wa singeli usijifanye wa roulette.
Naona Unapingana na Wanaume Huku tukikupa FactsKwa hiyo wanawake hawawezi kulogic? Haha you can't prove it definitively.
When you stereotype an entire gender, you simply perpetuate a cycle of ignorance and hatred and I'll term your logic is a fallacy.
there are women who can logic than you can logic and opposite of it is true.
We possess different traits, wired differently and that traits are better or worse than our opposites. Mind you this doesn't mean one is better than other.
Enjoy your high school kid I'm out.
Naona Unapingana na Wanaume Huku tukikupa Facts
Mwanamke anaweza kuwa na akili nyingi kipato kikubwa ubunifu udhaifu wake unakua kwenye utekelezaji usimamizi wa mambo na utatuzi mfano kama ni biashara akiyumba kidogo ni mzito kufuatilia imeyumba wapi aanzie wapi amfate nani ni yupi wa kudeal nae vilivyo ili biashara yake isimame. In short wanawake huwa wana uvivu wa asili unless otherwise awe na mwanaume pembeni anaemtia moyo katika kufanikisha mambo ndio maana most of them ukimkuta yeye ni general manager basi msaidiz wake ni mwanaume na yeye ndio anafanya kila kitu mwanamke anasimama kama top tu. Tena pindi huyu mwanaume ikitoweka biashara hufa kabisa. Kama ilivyo andikwa mwanamke ana unyonge wa asili na wengi unaona wamefanikiwa sio kwa nguvu zao wenyewe lzma kuna kamteremko mahali either kwa ngono au rushwa au msaada kutoka kwa ndugu urithi na kadhalika. ila mwanaume anaweza kustand yeye kama yeye kuanzia kwenye umaskini na bila support yeyote na akatusuaHakuna sehemu nimesema mwanamke hana udhaifu.
Wanawake dhaifu wapo na wanaume dhaifu wapo. Nyie mnataka kuniaminisha Wanawake in nature ni dhaifu nikawauliza katika nini hamtaki kusema.
Huo udhaifu mnaouongelea nyie ni tofauti za kijinsia.
Sijakuelewa mkuu!Imenitokea hii mpaka now
Mazee acheni fallacy generalization basi.Mwanamke anaweza kuwa na akili nyingi kipato kikubwa ubunifu udhaifu wake unakua kwenye utekelezaji usimamizi wa mambo na utatuzi mfano kama ni biashara akiyumba kidogo ni mzito kufuatilia imeyumba wapi aanzie wapi amfate nani ni yupi wa kudeal nae vilivyo ili biashara yake isimame. In short wanawake huwa wana uvivu wa asili unless otherwise awe na mwanaume pembeni anaemtia moyo katika kufanikisha mambo ndio maana most of them ukimkuta yeye ni general manager basi msaidiz wake ni mwanaume na yeye ndio anafanya kila kitu mwanamke anasimama kama top tu. Tena pindi huyu mwanaume ikitoweka biashara hufa kabisa. Kama ilivyo andikwa mwanamke ana unyonge wa asili na wengi unaona wamefanikiwa sio kwa nguvu zao wenyewe lzma kuna kamteremko mahali either kwa ngono au rushwa au msaada kutoka kwa ndugu urithi na kadhalika. ila mwanaume anaweza kustand yeye kama yeye kuanzia kwenye umaskini na bila support yeyote na akatusua
Mtoa mada anatumia feelings and not logic.Naona Unapingana na Wanaume Huku tukikupa Facts
Huyo mwenye IQ yake inayolingana na ya mke wake.Mtoa mada ni nani?