Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kwa muktadha upi basi
Mijadala yahusuyo jinsia na dini huwa yananipa uzito sana kuyajadili maana hayana muafaka kila mmoja anavutia kwake. Ngoja nibaki mtazamaji
 
Mwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
Naomba namba yake
 
Hahahaa Japo mm ndo mtoa Mada ila Mkuu Theosolnus anatetea sana wanawake
Huyu bwana anawatetea wanawake sana.

Kuna bwana mmoja alikuja kufahamu dark side ya mwanamke wake miaka 23 ya ndoa ndipo alimjua mwanamke ni kitu gani.
 
Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.

Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Anadhani ni computer anapima performance capacity kisha anunue
 
Huyu bwana anawatetea wanawake sana.

Kuna bwana mmoja alikuja kufahamu dark side ya mwanamke wake miaka 23 ya ndoa ndipo alimjua mwanamke ni kitu gani.
Hahahaa ni Hatari
 
Mwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
pesa haitoshi hiyo kuanua ongeza kidogo
 
Mazee acheni fallacy generalization basi.

Kuna wanaume wenye sifa uliyotaja. Kuna wanawake ma -CEO na kampuni zinafanya vizuri.

Hivi nyie mnachukua wanawake wa wawapi mnajilinganisha nao? Tunaposema mwanamke ni dhaifu kumzidi mwanamme logically tunakichukua kiumbe chochote cha kike tunakilinganisha na kiumbe chchote cha kiume kwa sifa tajwa.
Wanawake hawa hawa watanzania mfano mzuri ni yule mama alie hama chama baada ya kuona aliekua anamtegemea kutengeneza chama kapewa chaka la bunge la africa mashariki. Na yeye akaona kitamfia mikononi ndio akaomba akapewa mkoa wa kilimanjaro akamuachia chama huyu jamaa wa kigoma
 
Kuna mmoja nilikuwa nikiwasiliana nae toka hapa JF, aisee yupo vizuri hatari, yani kabalikiwa kila kitu kuanzia akili hadi umbo na sura, yupo BRIGHT sana

Unaweza kumgundua hata katika maongezi ya kawaida tu, jinsi anavyopanga hoja na mengine.
 
Wanawake ni dhaifu tu!!!

Mimi kwangu mwanamke huwa ni kitu flani hivi cha kunipa company tu ndio maana huwa nachagua mwenye vigezo ninavyotaka.

+Awe mzuri
+Akili ya kawaida ya kumanage mambo madogo madogo.

Hayo mambo ya kupambana na akili ya mwanamke kwangu hayapo maana sitegemei mwanamke aje kunisaidia maisha yangu kiuchumi+kivyovyote ikitokea ni jambo tu la ziada.

Its very stupid kuoa ukitegemea mwanamke akusaidie kulea familia eti kwa kuwa ulimpima ukaona ana akili!
 
yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kitu
Mtu anaeweza kukuua muda wowote akitaka unamuitaje dhaifu.
Acha kupelekeshwa na falsafa za dunia, onesha heshima japo kidogo kwa wanawake.

Unasafari ndefu bado ya kutambua mambo
 
Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.

Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
*KWA NINI KIHARUSI MARA NYINGI HUTOKEA*
*BAFUNI AU CHOONI.*

*Nawashauri watu msioshe kichwa na nywele mwanzo mnapo anza kuoga! Ni makosa makubwa haya, hii inasababisha kubadilisha hali ya ujoto katika mwili wako haraka sana (na miili yetu ina Damu ya moto) na hivi kufanya mishipa ya Damu* inayopeleka kwenye ubongo kuchanika na kupasuka na inahatarisha kwa binaadamu kupata kiharusi kwa haraka sana.

*Njia nzuri ya mtu* kuoga ni kuanza kutia maji katika mwili au miguu kwanza kabla ya kichwa ili kuweza kuupa mwili uzoefu na kufanya usawa katika ujoto wa Damu.

*Sambaza kwa wote* uwapendao ili kunusuru kwa maradhi haya mabaya.
 
Hivi wale wanaume wanaohama vyama na kumuunga mkulu mkono huku nyuma wakiwaacha wanawake ngangali nyuma tunawasemaje?
 
Baki na stori zako na nyoka, ila uhalisia unauona mwenyewe.

Kujumuisha kwa Kusema wanamke ni dhaifu huu ni ujuha na wakati kuna wanaume dhaifu kuzidi wanawake.
This is nonsense, yaani unapima udhaifu wa mwanaume kwa kumlinganisha na mwanamke!?
 
This is nonsense, yaani unapima udhaifu wa mwanaume kwa kumlinganisha na mwanamke!?
Nani kapima udhaifu wa mwanaume?

Kama unataka nipime inawezekana kupimwa. Kwanini unaona udhaifu wa mwanaume hauwezi kupimwa kwa kumlinganisha na mwanamke?

pointi yangu toka mwanzo: kila jinsia inawatu dhaifu bila kujali wanawake wala wanaume. Kuhitimisha kwa kusema wanawake ni dhaifu kuliko wanaume ni ukengeefu.
 
Back
Top Bottom