Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kupima Reasoning ya Mwanamke

Achana na tofauti ya kijinsia zipo tofauti nyingi mno
Uzi wako unaonyesha mashaka makubwa ktk akili yako Eti maswali tactical ya kumuuliza mwanamke... Ungekua timamu na reasoning yako by this age unapaswa kujua binadamu ni very complex individuals..hivyo hakuna formula katika uncontrolled environment..otherwise mpe mtihani kupima IQ..Ama mtihani wa somo flani..otherwise usikariri maswali ya kuuliza mtu...
Relationships are more about 'Chemistry'...
 
LadyRed una miaka Mingapi tuanzie Hapa kwanza
 
LadyRed una miaka Mingapi tuanzie Hapa kwanza
Nikuulize wewee kwanza...mana mi siwezi kuja eti nauliza umma maswali gani nimuulize mwanaume kupima uwezo wake...do u realize how hw u sound?..ts simple js spend time and chat or talk wt the mf amd find out...how hard is that??.
 
Unaonesha udhaifu ambao tulikuwa tunauzungumza Hapa....umeulizwa swali na wewe unauliza the same question....sasa ukiambiwa wewe ni ZwaZwa ukiinama Akili zinamwagika utakataa? Au una cha Kubisha??
 
Kama thinking capacity yako ndio poor namna hii, sidhani kama unaweza kupata mwanamke amabae anauwezo mkubwa kufikiri na kupambanua, utapata level yako na utaendelea kuamini hivyo hivyo
ahahahahahaahahahahaha wanawake bhana kwahio mtu kama hawatetei nyie ndio ana thinking Capacity Ndogo?
 
Mwanamke ni MTU wa kujirahisisha akiona sehem kunamaslahi basi atajionesha wazi ana mapenzi kwa mhusika kumbe hamna kitu ...mwanamke haulizwi maswali bali anapimwa tabia
 
Kuna Member Mmoja alishawahi kuleta post kam hii jukwaani la namna ya kupima uwezo wa kufikiri wa Mwanamke sema kwa bahati mbaya hio post nimeshindwa kuiona.

Kw mf unataka kupima uwezo wa kufikiri au kuchambua vitu bila kujali elimu na mwanamke either awe mke/mpenzi.

Je maswali gani tactical ya kumuuliza?

Your contributions will be appreciated
muulize how do yo do,
hapo utapata vitu vingi sana
 
hutajua kwa kuuliza maswali...uutajua kama akiwa mtu wa karibu kwa kiaisi fulani na mnajadili kitu chochote au kuchangaia au kama kutafakari...hapo ndio utajua yuko vema au la...ukipanga maswali utachemka
 
Duuh.... uelewa na udhaifu ni maneno mawili yenye maana tofauti.......
 
hutajua kwa kuuliza maswali...uutajua kama akiwa mtu wa karibu kwa kiaisi fulani na mnajadili kitu chochote au kuchangaia au kama kutafakari...hapo ndio utajua yuko vema au la...ukipanga maswali utachemka
Busara sana hili jib
 
Alietumba tayar alishasema mwanamke ni msaidizi tu ishi nae kwa akili mana yake ni kiumbe dhaifu ...anabadilika kutokana na mazingira ndo mana wanawake wengine wanaonekana strong Kwa sababu ya mazingira waliyonayo...lkn kiumbaji ni dhaifu
 
Back
Top Bottom