Kupima Reasoning ya Mwanamke

Kupima Reasoning ya Mwanamke

bong
Alietumba tayar alishasema mwanamke ni msaidizi tu ishi nae kwa akili mana yake ni kiumbe dhaifu ...anabadilika kutokana na mazingira ndo mana wanawake wengine wanaonekana strong Kwa sababu ya mazingira waliyonayo...lkn kiumbaji ni dhaifu
e la points
 
Unaonesha udhaifu ambao tulikuwa tunauzungumza Hapa....umeulizwa swali na wewe unauliza the same question....sasa ukiambiwa wewe ni ZwaZwa ukiinama Akili zinamwagika utakataa? Au una cha Kubisha??
Acha nikuache...
 
Yule ambaye anaona nyumba inaungua afu a nakupigia simu kwanza badala ya fire, ujue hapo hamna kitu.
Au mtoto kakosea afu anamwambia "baba ako akija nitakusemea" usitangaze ndoa.
 
Hapa tuanzie tu kwenye mazingira yetu ya kitanzania

Ukitaka kumchambua mwanamke au mwanaume aanza na mazingira yako hapo ulipo

Kwa mfano tuseme tu ule ukweli bila kigugumizi cha kuuma maneno Most women are foolish arrogant and extravagant hawajitambui hata kidogo hapa bongo

Tuna type ya wanawake ambao kutwa kubinua makalio Instagram na kujiita sijui official Sophia mara official tunda ukiimuuliza mbali na kubinua makalio insta kuna shughuli gani nyingne ya ziada inayomwingizia kipato utaambulia kichambo

Mwanamke akipata kanafasi hata ka utangazaji ka radio station ka huko koromije utamsikia anaanza kujiita super women mna hatari nyinyi

Most of them wanapenda wanaume wenye Tv mwanaume mwenye malengo kwao ananuka shombo huwa si watu wa kupanda mlima Kwa shida wanapenda kupandishwa baba ridhiwani alikuwa fundi sana wa kuwapandisha mlima mfano akina Vick kamata mna hatari nyinyi

Kuitambua akili ya mwanamke hapa bongo hakuhitaji masters nenda shule za kata huko ndiko waliko wanawake wa nchi hii ambao wengi wao ni familia za vibanda vya mbavu za mbwa

Mimi huwa sihangaiki kupima reasoning ya mwanamke maana najua ni kupoteza muda tu

Siku wakijitambua utanitag nirudi tupime reasoning
 
Yule ambaye anaona nyumba inaungua afu a nakupigia simu kwanza badala ya fire, ujue hapo hamna kitu.
Au mtoto kakosea afu anamwambia "baba ako akija nitakusemea" usitangaze ndoa.
Ahahhahahaa
 
Hapa tuanzie tu kwenye mazingira yetu ya kitanzania

Ukitaka kumchambua mwanamke au mwanaume aanza na mazingira yako hapo ulipo

Kwa mfano tuseme tu ule ukweli bila kigugumizi cha kuuma maneno Most women are foolish arrogant and extravagant hawajitambui hata kidogo hapa bongo

Tuna type ya wanawake ambao kutwa kubinua makalio Instagram na kujiita sijui official Sophia mara official tunda ukiimuuliza mbali na kubinua makalio insta kuna shughuli gani nyingne ya ziada inayomwingizia kipato utaambulia kichambo

Mwanamke akipata kanafasi hata ka utangazaji ka radio station ka huko koromije utamsikia anaanza kujiita super women mna hatari nyinyi

Most of them wanapenda wanaume wenye Tv mwanaume mwenye malengo kwao ananuka shombo huwa si watu wa kupanda mlima Kwa shida wanapenda kupandishwa baba ridhiwani alikuwa fundi sana wa kuwapandisha mlima mfano akina Vick kamata mna hatari nyinyi

Kuitambua akili ya mwanamke hapa bongo hakuhitaji masters nenda shule za kata huko ndiko waliko wanawake wa nchi hii ambao wengi wao ni familia za vibanda vya mbavu za mbwa

Mimi huwa sihangaiki kupima reasoning ya mwanamke maana najua ni kupoteza muda tu

Siku wakijitambua utanitag nirudi tupime reasoning
Asantee sana Mkuu
 
Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.

Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.

Afadhali umeliona hilo
 
Kuna Member Mmoja alishawahi kuleta post kam hii jukwaani la namna ya kupima uwezo wa kufikiri wa Mwanamke sema kwa bahati mbaya hio post nimeshindwa kuiona.

Kw mf unataka kupima uwezo wa kufikiri au kuchambua vitu bila kujali elimu na mwanamke either awe mke/mpenzi.

Je maswali gani tactical ya kumuuliza?

Your contributions will be appreciated
Yaaani ni kama vile mnawadharau sana mama zenu!

Si unae mwanamke hapo nyumbani kwenu ukampime uwezo wake WA kufikiri na pia uwezo WA kukubeba tumboni bila kukutoa na kukutupa jalalani!
Au kukuminya shingo siku ya kuzaa!
UA kukulalia tuuu usiku na ziwa juu ukaamka maiti!

Au ya kukubeba badala ya kubeba mtoto WA Mbuzi ambae atampa nyama kuliko wewe ukikua unafikiri kwenda kuhonga na kuishi magorofani mama yako akifunga mlango na ngozi kijijini,na kulala na Mbuzi,

Yeye na wewe nani anauwezo WA kufikiri!

Muwe na adabu alaaa!

Akili za baba zenu kula supu hotel in na kuacha nyumbani 1000 mama afanye maarifa ,
 
Kwani nyie huwa mnadhani mwanamke ni nini? Kuna wanwake vilaza kama walivyo wanaume wengine na kuna wanawake wapo vizuri kama walivyo wanaume wengine.

Wewe kwa mfano nakuhakikishia kuna wanawake humu wanakuzidi uwezo kuanzia mwandiko hadi kujieleza bisha nikuitie hapa.
Mwambie huyo hajui kama% kubwa wanawake ndiyo wanajenga mji yy anapayuka kama
 
Mimi naangalia uhalisia wa ninachokiona kwa macho yangu kwasasa hayo mambi ya kuumbwa na udhaifu nyie yachukueni.

Kuna wanawake vichwa vya familia, mwanaume mlevi familia hahudumi, watoto matumizi hatoi mke ndiye anahangaika tu. Huyu mwqnamme utamuita kichwa cha familia kisa tu imeqndikwa kwenye vitabu??

Zama za kusema mwanamke ni dhaifu labda uwe unajilinganisha naye na uwe umemzidi na sio fallacy generalization.
Tena mlevi mpaka anajikojolea, nilikuta mbaba anamwambia mkewe mbona unainjika maji ya ugali kidogo, cha ajabu yy kazi yake kufunga mkanda kifuani hata 10 ya nyerere hakuna mke apike gongo ndiyo atunze familia na huyo aitwe kichwa cha familia au mkia wa familia??
 
yaan nasema hivi we wasifie utakuja kunambia,mwanamke hata awe na dunia nzima hiii uwezo wake ni weak sana ukilinganisha na mwanaume asiye na kitu
Wewe inaonekana udhaifu unaousema kwao ni kwny masuala ya mapenzi na inawezekana ushatendwa sn na hao viumbe.

Kiukweli udhaifu wa wanawake ni ile hali yao ya kuwa wake lkn wapo ambao wapo smart kichwan kuliko unavyodhani pia wanaume wapo ambao wameoza kichwan kuliko wanawake.
 
Hahahahahahahaha
Mwanamke ni mwanamke tu hata awe ana mabawa...kuna ka demu hapa nilipopanga ni kazuri ila kana akili ndogo sijapata kuona...ilikuwa jpl...kakaniomba elf 5, nikaona kukapa bure ni makosa nikakapa nguo chache kanifulie...nikaenda zangu ..nimekuja kurudi j4 bado hakajafua...kalivoniona kakaanza kuzifua..kakaanika, jioni mvua inanyesha hakakuzianua..zikalowa ikawa j5...kakaziacha pia zikalowa hadi jana...yani mpaka muda huu zipo kwenye kamba kweli wanawake ni wanawake tu...haka kabinti kana matako makubwa lakini akili ndogo kama punje ya ulezi....
 
Back
Top Bottom