Mie najipenda mwenyewe sisubir kupendwa na wala sihitaj kupendwaa maana siwez kumpenda mtu kama navyojipenda miee
Dah yaani white girl, ndio huna habari kabisa na malovee? Ndo nishakupenda mwenzio
''Mpende jirani yako kama nafsi yako''Mie najipenda mwenyewe sisubir kupendwa na wala sihitaj kupendwaa maana siwez kumpenda mtu kama navyojipenda miee
So do i,nawapenda sn watoto ila watoto vilizi wananikera hasa niwapo na mambo meng kichwan na nahtaj utulivuWatoto ni viumbe amazing sana....cute n very innocent....
Ila wakilia sasa ndio sipendi hata kuwasikia...au kumuona anapigwa...
Kupendwa na KILA MTU ! haiwezekani
Labda useme kupendwa na wengi.
Yeah nakubaliana. Kuna mdau alianzisha mada ya kuhusu mapenzi/upendo na ubinafsi, nimegundua si binadamu tu Bali hata viumbe wengine ni wa binafsi sana. Tunawapenda wenzetu kwa sababu zetu binafsi kwanza na si upendo kwanza, tunatoa kwa wengine ili tupokee zaidi. Hata kama hawawezi kuturudishia tunaamini Mungu atatulipa, ubinafsi. Tunapenda wenzi wetu wawe na sifa njema sababu ya ubinafsi wetu.Nipende tu lakin kila mtu hua anajipenda yeye,hamna mtu anaempenda mwingine zaidi ya yeye anavyojipendaa
Yeah nakubaliana. Kuna mdau alianzisha mada ya kuhusu mapenzi/upendo na ubinafsi, nimegundua si binadamu tu Bali hata viumbe wengine ni wa binafsi sana. Tunawapenda wenzetu kwa sababu zetu binafsi kwanza na si upendo kwanza, tunatoa kwa wengine ili tupokee zaidi. Hata kama hawawezi kuturudishia tunaamini Mungu atatulipa, ubinafsi. Tunapenda wenzi wetu wawe na sifa njema sababu ya ubinafsi wetu.
Yaapp ni kweli yaan mi nakupenda wewe ili unifurahishe nafsi yangu sitak unichukize, sasa mfano mapenzi tungekuwa tunapendana tusingekuwa tunaachana,sis ni wabinafsi balaa kila mtu hujipenda mwenyewe asikwambie mtuu et watu wanakupenda kuna kitu wanataka uwafanyie si tunaona kwenye jamii zetu
Yaapp ni kweli yaan mi nakupenda wewe ili unifurahishe nafsi yangu sitak unichukize, sasa mfano mapenzi tungekuwa tunapendana tusingekuwa tunaachana,sis ni wabinafsi balaa kila mtu hujipenda mwenyewe asikwambie mtuu et watu wanakupenda kuna kitu wanataka uwafanyie si tunaona kwenye jamii zetu
exactly
YANI MI NAKUPENDA KWA KUWA UNANIPA FURAHA SIO KWA KUWA NAKUPA FURAHA!
PERIOD!
kinyume na hapo ni uongoooo!