Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
''Mpende jirani yako kama nafsi yako''
Huwa natafakari msemo huu nakosa majibu...
Na ukipata majibu lazima yakuchanganye!
''Mpende jirani yako kama nafsi yako''
Huwa natafakari msemo huu nakosa majibu...
KWELI KABISAAA....(naomba kuitikia kwa herufi kubwa!!)
Hapo sijaelewa...
OBSULETELY IMPOSSIBLE!
...
Nahiyo inatokana nambo mawili:
1 Interests!
2 Outlooks!
Sasa nimeelewa...Mfano, mara zote tumekuwa tukiwapenda watu kwa sababu wanatupa/tunatarajia kupata feedback nzuri zinazoturidhisha ama kutufurahisha na si kwa sababu tunawafanyia mambo mazuri yanayowafurahisha ama kuwaridhisha!