Kupendwa na kila mtu

Kupendwa na kila mtu

Ahh kwanza ukipendwa na kila mtu hata kupata maendeleo kwako kutachelewa sana, na kingine ukipendwa na kila mtu ujue kuna mambo ambayo huyafanyi sawa sawa!
 
hata mie naclick sana na watoto,nawapenda,i feel free and loved around them too, na maua napenda sana,vp Himidini?

Watoto ni viumbe amazing sana....cute n very innocent....
Ila wakilia sasa ndio sipendi hata kuwasikia...au kumuona anapigwa...
 
^^
Binadamu hatuna jema,
Ukiwapenda anajipendekeza,
Ukifanya mambo yako anajipendelea,
Ukifa mzee alichelewa kufa,
Ukifa mdogo, angekuwa rais huyu,
Ukioa mapema yatamshinda,
Ukichelewa kuoa, jamaa -------,
Uwe mpole anaringa,
Uwe mwongeaji muongo,
Ushinde jf hana kazi ya kufanya,
Uadimike jf amefichwa,
NDIO ASILI YETU BINADAMU.
..
Fanya lililo sahihi na Usimwogope yeyote au Kumdharau yeyote
^^
Himidini umeadimika siku hizi,umefichwa?
 
Last edited by a moderator:
hata mie naclick sana na watoto,nawapenda,i feel free and loved around them too, na maua napenda sana,vp Himidini?

^^
Nafarijika sana! Watoto wadogo nawafatilia sana, muda ukifika Ntakushirikisha.
^^
 
yesu alikuwa mwema lakin akapigwa mpaka kufa.itakuwa binadamu mwenye mapungufu.hauwezi kupendwa na kila mtu kosa moja linafuta mema miamoja..
 
Kipendwa na kila mtu hiyo haiwezekani ila kupendwa na wengi inawezekana...watu kama doctors, wasomi wakubwa, mafundi wazuri, masheikh, mara nyingi wanakubalika sana kwenye jamii
 
Mie napendwa sana na watoto.....
Napenda sana kucheza nao ila baadhi ya mda hata watoto ambao sina mazoea nao napata hi zao na tabasamu...

I love kids...hata mimi watoto wanaonyesha smile hata kama simjui...
 
^^
Binadamu hatuna jema,
Ukiwapenda anajipendekeza,
Ukifanya mambo yako anajipendelea,
Ukifa mzee alichelewa kufa,
Ukifa mdogo, angekuwa rais huyu,
Ukioa mapema yatamshinda,
Ukichelewa kuoa, jamaa -------,
Uwe mpole anaringa,
Uwe mwongeaji muongo,
Ushinde jf hana kazi ya kufanya,
Uadimike jf amefichwa,
NDIO ASILI YETU BINADAMU.
..
Fanya lililo sahihi na Usimwogope yeyote au Kumdharau yeyote
^^


duuuhh, umetiririka!!
ila tunatofautiana wanadamu,
kupendwa kunalemaza na haiwez kutokea kupendwa na watu wote.
 
Inawezekana kupendwa na kila mtu?na inabidi mtu afanyeje ili apendwe na kila mtu? msaada wa maoni wana MMU. Upendo huu sizungumzii ule wa romance hapana, naongelea kule kukubalika kwa kawaida.

muone huyu akusafishie nyota...
z.jpg
 
Huwa ni kismati tu...huwa kikikupata utapendwa na kila mtu kama ilivyokuwa kwa JK enzi zile kina mama wanamuita hendisamu lazima apewe Urais...

Wengine wakadiriki hata kuandika waraka kuwa ni chaguo la Mungu...
 
Tenda wema uende zako. Usisubiri kupendwa.
 
Mie najipenda mwenyewe sisubir kupendwa na wala sihitaj kupendwaa maana siwez kumpenda mtu kama navyojipenda miee
 
Kupendwa na KILA MTU ! haiwezekani
Labda useme kupendwa na wengi.
 
Nadhani inawezekana, cjui kama ni haiba au mvuto ama nini, back in thz dayz nlipokuwa chuo nlikuwa na galfrnd aliyekuwa anakubalika/ kupendwa ama niseme mwenye haiba ya kipekee, watu walikuwa wanavutiwa tu kuongea nae hata wale ambao tunakutana nao for da first time, hata mimi ilikuwa ikinishangaza na hakuwa na makuu, mtulivu msikivu, ana busara , mzuri na sifa zingine... Stil ninamuheshim sana, so hali hii ipo ila nadhani ni ya asili, kama utajaribu kuitengeneza nadhani utaishia kupretend na kuwa mnafiki.
 
Mie najipenda mwenyewe sisubir kupendwa na wala sihitaj kupendwaa maana siwez kumpenda mtu kama navyojipenda miee

Dah yaani white girl, ndio huna habari kabisa na malovee? Ndo nishakupenda mwenzio
 
Some people don't know you and they hate you already. Unqchoweza kufanya wewe ni kuhakikisha unamuonyesha upendo kila mtu hata anaekuonrsha chuki. Unawaacha wakjistress zao hukooo na roho zao za kutu
 
Back
Top Bottom