Kupendwa, Kujaliwa

Kupendwa, Kujaliwa

Kwa hiyo unakubali kujaliwa tu au inabidi na wewe uanze kufanya kazi ya ziada kumletea vizawadi?

Kwa kweli ili upendo udumu ni lazima na wewe urudishe upendo,sasa Kama mtu hujamaindo njia ya bora ni kutorudisha upendo huo,jionyeshe mapema kwake jinsi ulivyo,weka mipaka katika vile vitu ambavyo hupendi mshirikiane,weka kwa hekima na si ile namna ambayo mpka naye atajielewa kwamba humpendi.
 
inategemea mtu na mtu ila kama mwanamke hua napenda sana aji attach
 
Niliwahi kumwambia mmoja, wengine wakaona nime over react, nikajisemea labda kweli.
Kuanzia siku hiyo sisemi, lakini nipo nipo tu.

Na mfanyakazi mwenzangu aliniambia niko 'mean', sijui nakosea wapi.

Vipi akiwa wa jinsia tofauti unaichukuliaje, sina maana anakutingoza, ila anakuwa karibu na msaada sana, vijizawadi zawadi kidogo...
 
Mi nikiwa chuo nilizoeana na mwanamke fb, amenizidi sana kiumri na ana mume na watoto wawili..akawa ananipa pocket money,kabum kakichelewa hata sina mawazo...nilitokea kumuamini maana tulikuwa tukichat kama kigrup fulani hivi na kati ya hao kuna watu wanamfahamu personaly..... Alintumia nauli nikaenda hadi kwake...mkoa mwingine mbali kabisa (yan sijui nlijiamini nini) japo nlikuwa na mashaka kidogo lakini sijawahi kusikia jambo baya kutoka kwake....mpaka leo ni rafiki yangu na amekuwa kama ndugu. Akipita hapa ndo nmesha-reveal id yangu loh though alisema ye hayupo jf

Twin una bahati sana... Epuka free lunch hasa toka kwa Stranger ohoooo, binadamu siku hizi ni zaidi ya wanyama.
 
Mwanamme unaweza kumwambia kama utani, mbona mtama umezidi unataka kunila?

Wanawake waso so emotional na vizawadi zao, hujui hata ufanyeje nao.

Vipi akiwa wa jinsia tofauti unaichukuliaje, sina maana anakutingoza, ila anakuwa karibu na msaada sana, vijizawadi zawadi kidogo...
 
Bora hizo, mnakaa bar, mnanunuliana kinywaji inaisha. Sio mtu anakuja na 'supriseee sijui chokleti au keki'.

Wanaume hatuna utaratibu huo wa kupeana 'vijifti'....

Mara nyingi watu hupeana ofa za chakula, vinywaji lakini sio kupeana 'vijifti'...
 
Dah kweli asee

Utadhani umeniona vilee
Nina jirani yangu hapa yani ye bila kuja kwangu siku yake haiendi
Na miye sinaga story
Basi naona kero kwelikweli!!!
 
Mi nikiwa chuo nilizoeana na mwanamke fb, amenizidi sana kiumri na ana mume na watoto wawili..akawa ananipa pocket money,kabum kakichelewa hata sina mawazo...nilitokea kumuamini maana tulikuwa tukichat kama kigrup fulani hivi na kati ya hao kuna watu wanamfahamu personaly..... Alintumia nauli nikaenda hadi kwake...mkoa mwingine mbali kabisa (yan sijui nlijiamini nini) japo nlikuwa na mashaka kidogo lakini sijawahi kusikia jambo baya kutoka kwake....mpaka leo ni rafiki yangu na amekuwa kama ndugu. Akipita hapa ndo nmesha-reveal id yangu loh though alisema ye hayupo jf

Ayaaaaa... kumbe umeshasagwa!! Pole my dia.
 
Dah kweli asee

Utadhani umeniona vilee
Nina jirani yangu hapa yani ye bila kuja kwangu siku yake haiendi
Na miye sinaga story
Basi naona kero kwelikweli!!!

Aaah jirani kumbe nakukera...
 
kila kitu kinaenda sanjari na sababu tena za msingi so..... lazima tu kutakuwa na sababu ya mtu kufanya hivyo
 
weweee,! Wanaa tu hao. Kesho wanakuwangia...,

fanya yako tambaa..
 
Kuna wengine wameumbiwa roho ya kujali, cha muhimu kuweka mipaka usiruhusu mazoe yapitilize wala kumpa mtu nafasi ya kukuchimba chimba akujue kiundani.
 
Back
Top Bottom