Kupendwa, Kujaliwa

Kupendwa, Kujaliwa

Ofisini ninae wa aina hiyo, yeye ni -ke, uhusiano wetu ulianzia kwenye KIBANO cha interview ya UTUMISHI, tulifanya wengi, lakini tulibahatika kupata barua ya ajira, mimi na yeye tu!

Baada ya interview, mwanae umri wa kunyonya, alipigiwa simu, mtoto anasumbua, nikamuomba nimkimbize nyumbani kwake kumuwahi mtoto, alikubali! Tahgu siku hiyo, she's my best office friend!

Ni tunatoana lunch, tunaulizana uko wapi leo? mbona umesafiri kimya kimya, unataka kuninyima nyts? tunaazimana mpaka usafiri! tunaazimana hela! sina tatizo nae, na huko mbele likitokea la kutokea ntadeal nalo kama litakavyotokea! Na hapa muda si mrefu, tumetoka canteen ya COET kupata chai!

cc Kongosho Preta Kasinde
 
Last edited by a moderator:
Ndio hapo, unaweza fukuza watu wema bure.

At the same time, kwa mtizamo wangu urafiki hauombwi, na wala huufanyii kazi, unakuja naturally. Nikiona natumia nguvu nyingi sana kupatana na mtu naona kama utumwa fulani. Imagine, kuna gestures ndogo ndogo tu, sijui katengeneza smoothie kwake anakuletea, kesho ka bake nini anakuletea.

Mie sibebagi msosi toka home labda niandikiwe na daktari, nitarudishaje? Si lazima waendane wote wanaleteana vitu, mie nachoka kwa kweli.

Yes lazima iwe effortless, lakini watu wametofautiana kuna anayefanya mbwembwe zote hizo na anakuwa na expectations.....urafiki ni kuwa jinsi ulivyo kwa ubaya au uzuri
 
Heri uonekane mean aisee....

Maana wanawake sie hatuishi kutafutana.......

Jenga ukuta kabisa....

Mahusiano ni salamu na yale ya kikazi au biashara

Niliwahi kumwambia mmoja, wengine wakaona nime over react, nikajisemea labda kweli.
Kuanzia siku hiyo sisemi, lakini nipo nipo tu.

Na mfanyakazi mwenzangu aliniambia niko 'mean', sijui nakosea wapi.
 
Wanaume wengi hawana mambo ya ajabu na wivu wa kijinga.

Rahisi kupeana madili ya biashara au madili ya kupiga pesa...... (baadhi ya wanaume maana kuna wengine wachimvi balaa)

Cha msingi ni watu wasikujue sana

Mi wanawake wote waninunie huwa sina shida.........lakini sio wanaume.........nitajitundika wallah.........
 
Nani anamzoea mke wetu mkubwa??

Leo ilikuwa zamu yako lakini itabidi nighairi nikatatue hili tatizo.

Ruksa kwenda kwa mke mkubwa leo.... ila itabidi nihakiki kama uko huko maana unazengewa sana weww siku hizi
 
Wanawake wana-complicate sana maisha. Mambo mengine ni kuyaacha yaje jinsi yalivyo kwa sababu tumetofautiana mitizamo, tabia n.k.

Kama sijaona ubaya why niogope litakalokuja!??
 
Mimi sioni ubaya ila kinachotakiwa ni kuwa mwangalifu sana,mipaka kuwepo ni muhimu ili heshima iendelee kuwepo. Wakati mwingine ni ngumu kujua kwani moyo wa mtu ni kichaka,kuna wengine huwa wema kabisa na ni watu watakaokufaa maishani na wengine si watu wema.
 
Mi nikiwa chuo nilizoeana na mwanamke fb, amenizidi sana kiumri na ana mume na watoto wawili..akawa ananipa pocket money,kabum kakichelewa hata sina mawazo...nilitokea kumuamini maana tulikuwa tukichat kama kigrup fulani hivi na kati ya hao kuna watu wanamfahamu personaly..... Alintumia nauli nikaenda hadi kwake...mkoa mwingine mbali kabisa (yan sijui nlijiamini nini) japo nlikuwa na mashaka kidogo lakini sijawahi kusikia jambo baya kutoka kwake....mpaka leo ni rafiki yangu na amekuwa kama ndugu. Akipita hapa ndo nmesha-reveal id yangu loh though alisema ye hayupo jf
 
Binafsi hayo mazoea sitaki kabisa........hasa kwa sisi wanawake ndio kutafutana umbea...........

Aje mrembo? Arusha kwema? ile safari ya Denmark ulokua unaitamani imewadia ntakupa details full ukapande KLM nawewe....

nisalimie uncle zangu.
 
Wadada wengi huwa hamjiamini kiasi kwamba ukionesha kujali kidogo tu huwa mna vile vitabia vyenu vya kumfukuza mtu mnaviibua....
 
Bora kujaliwa na me kuliko ke.
Mahusiano ya kike hutengeneza 'stong bonds', ambazo mnashare hadi redundant infos. Mtaanza elezana hadi ya majumbani, lakini wanamme sio wadadisi sana wa maisha ya mtu, rahisi kwenda na flow.

Imagine me mwensio anakuletea vizawadi zawadi bila mpango, unajisikiaje?

Wadada wengi huwa hamjiamini kiasi kwamba ukionesha kujali kidogo tu huwa mna vile vitabia vyenu vya kumfukuza mtu mnaviibua....
 
Kwa hiyo unakubali kujaliwa tu au inabidi na wewe uanze kufanya kazi ya ziada kumletea vizawadi?

Mimi sioni ubaya ila kinachotakiwa ni kuwa mwangalifu sana,mipaka kuwepo ni muhimu ili heshima iendelee kuwepo. Wakati mwingine ni ngumu kujua kwani moyo wa mtu ni kichaka,kuna wengine huwa wema kabisa na ni watu watakaokufaa maishani na wengine si watu wema.
 
Mmh, may be kweli.

Kuna free lunch siku hizi, ngoje niendelee kupokea mapendo daima.

Wanawake wana-complicate sana maisha. Mambo mengine ni kuyaacha yaje jinsi yalivyo kwa sababu tumetofautiana mitizamo, tabia n.k.

Kama sijaona ubaya why niogope litakalokuja!??
 
Mi nikiwa chuo nilizoeana na mwanamke fb, amenizidi sana kiumri na ana mume na watoto wawili..akawa ananipa pocket money,kabum kakichelewa hata sina mawazo...nilitokea kumuamini maana tulikuwa tukichat kama kigrup fulani hivi na kati ya hao kuna watu wanamfahamu personaly..... Alintumia nauli nikaenda hadi kwake...mkoa mwingine mbali kabisa (yan sijui nlijiamini nini) japo nlikuwa na mashaka kidogo lakini sijawahi kusikia jambo baya kutoka kwake....mpaka leo ni rafiki yangu na amekuwa kama ndugu. Akipita hapa ndo nmesha-reveal id yangu loh though alisema ye hayupo jf

Hao ni mmoja kati ya elfu moja
 
Back
Top Bottom