Kupendwa, Kujaliwa

Kupendwa, Kujaliwa

Aje mrembo? Arusha kwema? ile safari ya Denmark ulokua unaitamani imewadia ntakupa details full ukapande KLM nawewe....

nisalimie uncle zangu.

Bora niondoke mapema.........hebu nitumie hizo habari mara moja..........kabla KLM haijasitisha safari.......
Otherwise Chugga kupo poa sana........
 
Bora niondoke mapema.........hebu nitumie hizo habari mara moja..........kabla KLM haijasitisha safari.......
Otherwise Chugga kupo poa sana........

Ahsante tumebadili ndege tutaenda na Turkish airline mama tukaione na istanbul kidogo
 
Duuuh, Saalaale mna roho mbaya ivi? People by people... sasa aende kwa kwa mnyama au ndege au mamba akafunge urafiki!?
 
Woga na kucomplicate mambo ,,,,, hufanya maisha kuwa magumu sana.......
 
Mimi siwezi.........sijakuzoea halafu uanze kunicare........mwanamke mwezangu.......dunia hii ya sasa.......mweeee mweee.,.....

Halafu mwanamke mwenyewe ni Anti Luwulu! Lazima uachike tu!
 
Inategemea ntu na ntu...
Kuna watu ku care ni nature yao...kuna wengine lazima ujiulize...why me?
Yote kwa yote kupendwa raha...hasa kama unajua anayekupenda si mwekezaji...(hategemei profit yoyote kwako)...
Kuna dada mmoja ananipenda mpaka najishtukia...maana mi ni bonge la don't care... kwa hiyo naona kama nashindwa kurudisha fadhila...yani mpaka mtu unakuwa uncomfortable fulani hivi...

Kuna wengine walijaribu kunipenda wenyewe wamebwaga manyanga...sipendeki lol...labda uwe for real kama huyu mdada nayemsema...

Yani kwanza sipelekeshwi na plan za mtu yeyote...zile za twende sijui wapi leo...ujanipata bado...hapo utanipendaje?

wewe tunaweza ku match
 
mi wakati nikomdogo kuna mamaalikuwa ananifananisha na mwanae akanipenda kama nini mpaka akawa anaiita jina la mwanae sijawahi kupewa upendo kama ule
 
Back
Top Bottom