Kupendwa, Kujaliwa

Kupendwa, Kujaliwa

bora uwe na maisha yako, sio bila kujiattach....
 
Bora hizo, mnakaa bar, mnanunuliana kinywaji inaisha. Sio mtu anakuja na 'supriseee sijui chokleti au keki'.

hizo sapraizi za chokoleti huwa twatoa kwa mabinti...!!!
 
na mie makuzi yangu yalikuwa 'no free lunch'

Mtu akikufadhili sana unapoteza uhuru, akipita tu inabidi utabasamu.

Wengine makuzi tu ambayo anayo.....kaishi maisha yakujali mtu yoyote.Kumpenda adui zaidi kuliko rafiki.
 
Mwongo mwongoze. Kama Nia ni OVU utabaini kama nia ni NJEMA utabaini pia. Kikubwa ni kuwa mtu makini kubaini na kutambua lengo husika.
 
Inategemea ntu na ntu...
Kuna watu ku care ni nature yao...kuna wengine lazima ujiulize...why me?
Yote kwa yote kupendwa raha...hasa kama unajua anayekupenda si mwekezaji...(hategemei profit yoyote kwako)...
Kuna dada mmoja ananipenda mpaka najishtukia...maana mi ni bonge la don't care... kwa hiyo naona kama nashindwa kurudisha fadhila...yani mpaka mtu unakuwa uncomfortable fulani hivi...

Kuna wengine walijaribu kunipenda wenyewe wamebwaga manyanga...sipendeki lol...labda uwe for real kama huyu mdada nayemsema...

Yani kwanza sipelekeshwi na plan za mtu yeyote...zile za twende sijui wapi leo...ujanipata bado...hapo utanipendaje?
 
Unaona eeh, ku care ni nature ya mtu, kuna wengine wanatamani urudishe japo kidogo.

huo u 'dont care' unawaumizaga wengine, anaona husomeki. Ukikua na kaka wengi ku care inakuwa tabu kidogo, unazoea kwenda kisela tu.

Kuna mmoja aliniambia niko mean, nikacheka tu.

Kuna zile mnatembea mmeshikana mabegani, wengine mikono, dah mie siwezi naona too fake.

Marafiki wapo tu, ambao mnaendana bila.kutumia nguvu.

Nyumbani tuna kaka yetu ndio anatuokoa...yeye ni bonge la mtu wa watu...basi tunaponea mgongoni mwake...

yule hata akigombea ubunge atapata...ila mimi NK hata kura 10 naweza nsipate aisee...

afu uwa tunataniana ...niwe mtu wa watu nataka kuwa mbunge...

Unaona eeh, ku care ni nature ya mtu, kuna wengine wanatamani urudishe japo kidogo.

huo u 'dont care' unawaumizaga wengine, anaona husomeki. Ukikua na kaka wengi ku care inakuwa tabu kidogo, unazoea kwenda kisela tu.

Kuna mmoja aliniambia niko mean, nikacheka tu.

Kuna zile mnatembea mmeshikana mabegani, wengine mikono, dah mie siwezi naona too fake.

Marafiki wapo tu, ambao mnaendana bila.kutumia nguvu.
 
Ahahaha.wanawake bana ukiwasikiliza huku unaweza kusema hawapendan,lakin huku mtaan wanavikundi kibao vya kwenda Brac na finca na wanaanzisha upato pia.lakin hapa hawapendi mazoea
 
Tunapendana, kule finca tunasaka mahela.

Lakini kutumiana zawadi na watoto kucheza kwako yataka moyo, mie siwezi tuma wangu wakacheze popote.

Ahahaha.wanawake bana ukiwasikiliza huku unaweza kusema hawapendan,lakin huku mtaan wanavikundi kibao vya kwenda Brac na finca na wanaanzisha upato pia.lakin hapa hawapendi mazoea
 
kuna mambo wanawake wenzangu hufanya mie sielewi kabisa
anakukuta umekaa..mnasalimiana,anataka mkono mnapeana...anaanza kukuzungumzisha anakushikashika usoni shingoni mgongoni...maa mkono kwenye nywele..arrgghh!....ukiwaambia hutaki hivyo inakufanya ujiskie akward...hawakuelewei..wanaona unaringa ringa...

tunatofautiana sana
 
Inategemea na mazoea na maisha mtu aliyokulia, binafsi mimi nimekuwa katika society ya ujamaa sana which involves people helping and socializing na one another kwa sana but kama umekulia kwenye maisha ya one man army obvious itakuwa inakuletea shida, excuse the language mix up!@Kongosho
 
Binafsi hayo mazoea sitaki kabisa........hasa kwa sisi wanawake ndio kutafutana umbea...........

wanawake sio lazma ukaribu hata kama hawakujui watakuzonga tu kama nzi kwenye kinyesi shwain kabisa...
 
Ahahaha.wanawake bana ukiwasikiliza huku unaweza kusema hawapendan,lakin huku mtaan wanavikundi kibao vya kwenda Brac na finca na wanaanzisha upato pia.lakin hapa hawapendi mazoea

tatizo wanawake kama papuchi tu hatueleweki unaedhan ni mtu wako wa karibu ndo bonge la adui full kukuuzia ramani, usengerema mwanzo mwisho....wivu wa kijinga jinga tu
 
Back
Top Bottom