Msaada wa kimawazo

Msaada wa kimawazo

chibe dayo

Member
Joined
Jun 25, 2022
Posts
71
Reaction score
67
Habari wana jamvi?
Mm ni kijana nimeajiriwa sehemu fulani,, kipato kwa kiasi napata ila hakikidhi mahitaji
Sasa nafkiria kuacha kazi na kununua bajaji hata used then nianze kujiajiajiri,,,, kwa anaye fahamu biashara ya bajaj inaendaje tafadhali
 
upo mko gani
 
Bajaji ikiwa yakwako inahela na uwe mchungu wa kuitumia maana madereva wa bajaj na pikpik hawaendekei kwasababu wanauhakika na hela hivyo hutumia hela kula kila kitu wanachokiona mbele.. na kuhonga maana wanakutana na madem kila saa
 
Sawa asante kwa ushauri
 
utapata abiria wachache, abiria wengi wanaunga mpaka dampo.. hiyo yakuishia uswahilin inafanya asubuh na jion watu wakiwa nyomi

Hakika kaka ila kuna hofu nakua nayo ya maisha juu ya hili nawaza ntaendesha maisha ila naamini inawezekana
 
Back
Top Bottom