Kupenda unavyopenda: Hizi kingo ni za nini?

Hivi ehh?From now on no limitations for me!Kuna nafasi iko wazi...unaitaka!?
Sasa naomba tuongelee hii nafasi.......hii nafasi hii, yani haina kingo, nimeiona hii nafasi kabisaaaa!
Ninaitaka hii nafasi.........Kwa vile umesema kuna nafasi ipo wazi, ningependa kujua ni nafasi ya Vitz au Benz! Na hizo nyingine zimejazwa na nani? mm nina-expand, naweza kuchukua nafasi zote hao wengine wakakosa!!
 
Yaani wewe unaweza kuwa CONTRACTOR na SUB CONTRACTOR kwa wakati mmoja
 
Hivi kupenda unavyopenda ina limitation nachuro au imetokana na kingo za kitamaduni........kwanini mwanadamu inaonekana ni kosa, dhambi, sio fair, haitakiwi na haikubabiliki kupenda zaidi ya mmoja?

kazi kwenu

Tujadili tukiwa soba
Mkuu naona unachanganya kupenda na Tamaa.., Binadamu hutamani (Mfano mimi napenda sana Maembe, kula kwangu Chungwa na Nanasi haimaanishi kwamba sipendi embe tena.., embe is still my favourite)

Sasa basi ukipenda sana mtu hautataka kumuuzi, sababu akiumia na wewe utaumia, na wewe kutoka na mwingine utakuwa umemuumiza yeye na inderectly umejiumiza.

Kwahiyo basi unaweza ukatamani zaidi ya laki moja ila kupenda ni mmoja..., (unless haujapenda hata mmoja bali wote ni tamaa tupu)
 
Sasa naomba tuongelee hii nafasi.......hii nafasi hii, yani haina kingo, nimeiona hii nafasi kabisaaaa!
Ninaitaka hii nafasi.........Kwa vile umesema kuna nafasi ipo wazi, ningependa kujua ni nafasi ya Vitz au Benz! Na hizo nyingine zimejazwa na nani? mm nina-expand, naweza kuchukua nafasi zote hao wengine wakakosa!!
Hivi dkk zilizopita sio ulikua unaongelea tulivyo wachoyo?Hutaki kula na wenzio?Nijibu alafu ntakwambia nafasi yako..ila jiandae unaweza kua Bito!
 
Wapendwa woote, mababu kwa wazee, vikongwe kwa vikungwi, watukutu kwa watiifu, bila kusahau sharobalo ambao wamejaa sana humu sikuizi

Haya maisha ya kawaida yamezungukwa na kingo (limitations) nyingi tuu..........nyingine ni nachuro nyingine ni za kiutaratibu (ama wa kiimani au kitamaduni)........

Hata kama tungependa, ni vigumu kukaa kwa kutumia kichwa, au kufikiri kwa kutumia kisigino, hapo ndo nachuro inakamata mkondo wake..........

Na makingo mengine tumeyakuta kwenye maandiko au tumejifunza toka kwa walio tangulia.....na kuna yanayo-make sense na kuna yasiyo......

blah blah blah kibao rudi kwenye mada sasa............Hivi kupenda unavyopenda ina limitation nachuro au imetokana na kingo za kitamaduni........kwanini mwanadamu inaonekana ni kosa, dhambi, sio fair, haitakiwi na haikubabiliki kupenda zaidi ya mmoja?

kazi kwenu

Tujadili tukiwa soba

Ubarikiwe sana kijana (sharobaro)
 
Mkuu naona unachanganya kupenda na Tamaa.., Binadamu hutamani (Mfano mimi napenda sana Maembe, kula kwangu Chungwa na Nanasi haimaanishi kwamba sipendi embe tena.., embe is still my favourite)

Sasa basi ukipenda sana mtu hautataka kumuuzi, sababu akiumia na wewe utaumia, na wewe kutoka na mwingine utakuwa umemuumiza yeye na inderectly umejiumiza.

Kwahiyo basi unaweza ukatamani zaidi ya laki moja ila kupenda ni mmoja..., (unless haujapenda hata mmoja bali wote ni tamaa tupu)

Hebu msome huyu jamaa hapa chini.....does it make any sense mkuu

Inawezekana sana tu.......ila kusiwe na strings attached.
Tatizo hapa ni hizi sheria tulizojiwekea.......mambo ya huyu ni wangu peke yangu nafikiri ni highest degree ya selfishness tuliyonayo binadamu....
Kwa hiyo, mambo ya sio fair, dahmbi na mengine kama hayo ndo yanaleta shida.........BUT, inawezekana. tukiachia mbali the fact kwamba baada ya hapo itafuata unapenda nn kwa huyu na unapenda nn kwa yule........mambo ya unapenda sana hayapo.....Unapenda nini zaidi YES!
 
Hapa wakuu ni kuna maswali ambayo mkinijibu yatatoa jibu kama inawezekana au haiwezekani ?
Je unaweza kupenda bila wivu ?,
Je kitu unachopenda (which according kwa ubinadamu wetu its not meant to be shared) ukikishare hautamuumiza mwenzako?
Je doing Sex must you love someone, au you can do it with anyone?

Kutokana na majibu hapo juu, utaona kwamba you can not love more than one person, thats why hata machangudoa.., unajua kabisa kwamba wanashare tunda ila hii haikusumbui akili...,
 
huwezi penda zaidi ya mmoja,,, ila waweza tamani hata milioni moja.
 
Ni ngumu kugawa upendo maana hata wewe wapenzi wako hawatakupa upendo unaofanana.
Tunapenda mmoja wengine tunawatamani nukta
 
Ngoja niangalie kwanza jina manake wakati nikiingia hapa niliona bango la kili tu.Ila inabidi uje na katiba niipitie kwanza manake mie mgeni bado eeh:A S-alert1:

LOL sasa umeshaweka kingo....lakini usijali nitakuja nayo tu LOL
 
Hapa wakuu ni kuna maswali ambayo mkinijibu yatatoa jibu kama inawezekana au haiwezekani ?
Je unaweza kupenda bila wivu ?,
Je kitu unachopenda (which according kwa ubinadamu wetu its not meant to be shared) ukikishare hautamuumiza mwenzako?
Je doing Sex must you love someone, au you can do it with anyone?

ukipenda lazima uwe na wivu japo kidogo.
Kushare!!! Mmh, vipo vya kushare lakini kwenye mapenzi tuweni wachoyo tu.
You cann't do sex na lijitu hata hujalipenda. Sijui kama efficiency kwenye huo mchakato utafikia hata 20%.
 
mmh....unaongea mno kimahesabu miye hapa wala hata sijakuelewa....
 
Back
Top Bottom