Kupenda unavyopenda: Hizi kingo ni za nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kupenda unavyopenda: Hizi kingo ni za nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GY, Feb 4, 2011.

 1. GY

  GY JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Wapendwa woote, mababu kwa wazee, vikongwe kwa vikungwi, watukutu kwa watiifu, bila kusahau sharobalo ambao wamejaa sana humu sikuizi

  Haya maisha ya kawaida yamezungukwa na kingo (limitations) nyingi tuu..........nyingine ni nachuro nyingine ni za kiutaratibu (ama wa kiimani au kitamaduni)........

  Hata kama tungependa, ni vigumu kukaa kwa kutumia kichwa, au kufikiri kwa kutumia kisigino, hapo ndo nachuro inakamata mkondo wake..........

  Na makingo mengine tumeyakuta kwenye maandiko au tumejifunza toka kwa walio tangulia.....na kuna yanayo-make sense na kuna yasiyo......

  blah blah blah kibao rudi kwenye mada sasa............Hivi kupenda unavyopenda ina limitation nachuro au imetokana na kingo za kitamaduni........kwanini mwanadamu inaonekana ni kosa, dhambi, sio fair, haitakiwi na haikubabiliki kupenda zaidi ya mmoja?

  kazi kwenu

  Tujadili tukiwa soba
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kiini cha maandiko yako ni apo tu.
  vp WE WAWEZA PENDA WAWILI?
   
 3. GY

  GY JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hebu tushee experience, huku tukiwa honest kabisa, je hilo linawezekana ama? linatokea ama? lipo ama? na si wawili tu, hata zaidi
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Aisee Sharobaro kupenda zaidi ya moja sio dhambi ila kutamani ndio dhambi.
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  haiwezekan.
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kupenda na kutaman kupi kunachat sana skuiz?
  waweza taman wawili au zaid je waweza penda zaid ya wawil?
   
 7. GY

  GY JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ebu ifikirie kiundani zaidi, halafu rudisha na kumbukumbu za enzi za kina adam, suleiman, Ibrahim, na hata recently wazee wetu...ni tamaa ile au?
   
 8. Dinnah

  Dinnah JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh kweli sijui kiswahili au sijamwelewa tu alivyoandika. naomba nieleweshwe kauliza nini?
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Anauliza unaweza kumpenda Juma na John kwa wakati mmoja?
   
 10. GY

  GY JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Thanks.......
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kutamani hata kumi unaweza!Ila kupenda zaidi ya mmoja haiwezekani..unaweza kujidanganya unawapenda wote ila ukweli ni kwamba mmoja tu ndo anaweza kuutawala moyo wako at a time!
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kwa mtazamo wako mimi nakupenda ua nakutamani? lolz
   
 13. GY

  GY JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ngoja kwanza kabla ya dhambi, je is it possible naturally au?
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Naamini watu siku hizi wanatamaniana sana zaidi kuliko kupendana usiniulize kwanini lolz!!!!!
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Feb 4, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  sijawahi kusikia kwamba imekatazwa kupenda wawili...!

  anyways ngoja kidogo
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Feb 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahaha we unanitamani tu kwasababu nimejaliwa sura na umbo zuri!Hehe!
   
 17. GY

  GY JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  hapana jamani, tusichanganye kupenda na kupenda sana, unaweza kupenda watatu ila mmoja ukampenda sana
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  No its not possible, thou kwa mtu mwenye binafsi atasema anawapenda wote MWANAHAWA na MWANAMTAMA lakini ukweli ni kwamba mmoja tu ndio ataweza kutawala moyo wako
   
 19. GY

  GY JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Connect zem dots hapo dogo halafu come again
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  stakuuliza kwanini lakin nambie kwanini watu wanafanya ivo
   
Loading...